Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa wakazi wa Dsm hapo maeneo ya Tegeta kwa niliona kumechangamka sana ,, tegeta kwa ndevu.....vip unaweza anzisha biashara gani ikakutoa
 
Ukipewa laki 3 taslim uifanyie biashara yoyote then baada ya miezi sita urudishe, utaifanyia biashara gani?
Duu kweli tunatofautiana mimi nina laki tatu kama wewe na nime calculate kwenye idea zangu kwa kipindi cha miezi mitatu inasema itanipa mpaka millioni Tatu wewe unawaza utapata vipi laki Tatu arafu miezi sita duu inamaana mimi iyo miezi sita napigia millioni 6 mpaka 8.

Tumia asilimia zote za ubongo mkuu kaa geto kutwa mzima suka idea
 
Kwa shughuri gani Mkuu importation of product toka nje au
 
Duu kweli tunatofautiana mimi nina laki tatu kama wewe na nime calculate kwenye idea zangu kwa kipindi cha miezi mitatu inasema itanipa mpaka millioni Tatu wewe unawaza utapata vipi laki Tatu arafu miezi sita duu inamaana mimi iyo miezi sita napigia millioni 6 mpaka 8.

Tumia asilimia zote za ubongo mkuu kaa geto kutwa mzima suka idea
Kwa biashara gani/mishe gani mkuu? tushirikishane kiongozi
 
Ni shughuli gani iyo
 
huna lolote.. kajambe huko ... ungekuwa na idea ungeisema
 
Kwa biashara gani/mishe gani mkuu? tushirikishane kiongozi
Ni rahisi tu unafanya kama vile alivyofanya Elon musk, sio 300,000/= yote anaiweka sehemu moja.

Anaweka sehemu 50000/= ambayo kwa siku itampa mfano 10,000/=

Sehemu 100,000/= ambayo kwasiku itampa 3000/=

100,000/= ambayo kwa siku itampa mfano 5000/=

50000/= sehemu kwa siku inampa kiasi furani.

Uwo ni mfano wa mchanganyuo usizibishie izoyfaida sasa hapo hapo mwenyewe kutumia ubongo asilimia zote kujua biashara gani utaweka kiasi furani ikupe furani kwa siku.
 
Hivi mnapozungumzia mtaji mna maana gani?Mimi kwa uelewa wangu huu finyu kuhusu neno mtaji ninaelewa kuwa ni fedha+nguvu ya mwili +kiasi cha pesa=mtaji.Lakini walio wengi ninaona wanagusia jambo moja tu fedha!Hivi nikiwa na hizo sh 100000-999000/= lakini niko ndani hoi bin taabani mtasema nina mtaji?
 
Izo siasa wewe hivyo Hakuna asiyekuwa navyo ishu pesa acha izo siasa
 
Hivi mnapozungumzia mtaji mna maana gani?Mimi kwa uelewa wangu huu finyu kuhusu neno mtaji ninaelewa kuwa ni fedha+nguvu ya mwili +kiasi cha pesa=mtaji.Lakini walio wengi ninaona wanagusia jambo moja tu fedha!Hivi nikiwa na hizo sh 100000-999000/= lakini niko ndani hoi bin taabani mtasema nina mtaji?
Unaajiri watu
 
Back
Top Bottom