Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mimi ni kijana mkazi wa kigoma mjini nina Tsh 500000 naombeni mnishauri nifanye biashara gani ya kuniingizia walau faida 5000 kwa siku.
 
Tafuta vijaluba na sehemu yenye maji lima mboga mboga.
 
Mimi ni kijana mkazi wa kigoma mjini nina Tsh 500000 naombeni mnishauri nifanye biashara gani ya kuniingizia walau faida 5000 kwa siku.
Mkuu nicheki (0786157788 / 0767157788) tuunganishe nguvu, tufanye biashara itakayokupa si chini ya Sh 10,000 kwa siku
 
Watu hawapendi kujituma kama mleta uzi. Kama ulivyo elezwa kuna nyuzi nyingi sana kama yako humu ndani na zimetolewa ushauri mwingi sana. Ni wewe kuangalia lipi la kuchukua ukichangana na za kwako utatoboa.

Pia sina lengo la kukukwaza, isipo kuwa kupitia uzi wako wadau wapo kutoka mahali ulipo humu ndani, watasaidia hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…