Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Elimu kandamizi ndio ikoje kaka!?Acheni kejeli nyie mnaojiona wasomi,kwani kumuelewesha mtu kuna shida gani?nyie wenyewe mnajua kabisa hali halisi ya elimu ya nchi yetu, nae hajapenda kuwa hivyo ila ni elimu kandamizi ndio imemsababishia hiyo lugha
Naomba mnisameh wapendwa
Kukosea kuandika isiwe fimbo kwangu
Khaaa!Mbona hujalike kama Ni wazo zuri kweli
Typing na sio hiyo ulioandika.Tyiping error hayo maneno yalinichefua
Uza hyo iphone x uongeze mtaji nikuelekeze cha kufanya!Habari za majukumu wana jf wenzangu nimekuja kwenu kupata ushauri na mawazo kuhusu ujasiliamali Nina kiasi cha sh.laki 5 nataka nibuni biashara dar Nifanye ujasiliamali gani kwa dar maana nimewaza kwamuda mrefu sana sijapata jibu wadau karibuni tupeane mawazo au ushauri .
Sent using [url iPhone x
Boresha ofisi,zingatia usafijf tuache matani, mimi ninalo eneo fresh katikati ya mji wa morogoro, naendesha biashara ya mgahawa lakini haiendelei, wanga wengi, chuma ulete sijui inakuaje, nikiuza pesa sioni na uuzaji wenyewe kwa siku naweza kupka mchele kg 1 na unga kg1 yaani inaumaa!! eneo nalilipia, kuliachia naona uchungu nataraji labda watoto wakimaliza masomo na uhaba huu wa ajira panaweza kuja kuwafaa, lakini nateseka sana. naomba ushauri wenu zaidi
jf tuache matani, mimi ninalo eneo fresh katikati ya mji wa morogoro, naendesha biashara ya mgahawa lakini haiendelei, wanga wengi, chuma ulete sijui inakuaje, nikiuza pesa sioni na uuzaji wenyewe kwa siku naweza kupka mchele kg 1 na unga kg1 yaani inaumaa!! eneo nalilipia, kuliachia naona uchungu nataraji labda watoto wakimaliza masomo na uhaba huu wa ajira panaweza kuja kuwafaa, lakini nateseka sana. naomba ushauri wenu zaidi
SemaNina wazo wakuu
Naomba msaada zaidi kwa hyo option ya pili mkuu.i) Inatosha kuanzisha jiko la Nyama choma na chips
ii) Anzisha Duma last vinywaji baridi ambavyo ni maji, juice, soda Nk.
Mafriji ya kuanzia, viti na meza unapata bure toka kwa kampuni za Coca na Pepsi. Na mtaji wa vinywaji unapata kwa mawakala wao yaani unachukua vinywaji bure na ukishauza ndani ya siku 2 au 3 unapeleka pesa, wewe unabaki na profit. Uaminifu ni muhimu.
lipi hilo?Nina wazo wakuu