MjasiriamaliElimu
Senior Member
- Nov 21, 2013
- 117
- 69
Mbona mtaji unao tayari.Zote hizo unaweza kuzifanya.Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ukipata kijana vifaa vya mambo ya kucha havizidi laki na nusu.Ukiamua kuanza na yale makontena ukapata kijana anaanza mdogo mdogo juisi,maji na soda kwa kununua barafu na kulipondea huko haizidi laki 2 na chenji inabaki.Tafuta hivyo vifaa uanze usilaze damu Muda ndo huu.Kama kawaida mtu wenu apa Jstar1, naomba kupata uzoefu wa biashara ya kupaka rangi, kucha za wadada.
kuuza vinywaji hasa hasa maeneo ya stand, yaani kuanzisha kama genge.
ila wakuu mdogo wenu nina mshahara wa laki 5, ivi ipi kati ya izo mbili itanifaa, au kipi ntaanzisha nkiwa na mtaji wa laki 5.
naomba msaada na baada ya mwaka mmoja ntaleta mrejesho apa, namaanisha,