Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Habari zenu wadau! Naomba kusaidiwa mtaji wa laki tano nitafanya biashara gani ili kutoboa?
 
Unatoboaa kbs weka malengo fikiri n mradi gan unaoweza anzisha kidogo kidogo sh izae sh
6amsuccess___B1rS8pmjIka___.jpeg
 
Upo mkoa gani mkuu wote ni wahanga..
Mi nikiipata hiyo naenda kukata leseni naingia kwenye udereva nikatafute mtaji mnono..

Viatu vya mtumba vya kiume vizuri tembeza wanawake wabishi sana kununua wanalalamika mno..

Fungua banda la chips uwe msafi sana kuanzia nywele mpaka chini usivae ndala,uza mwenyewe usiweke mtu

Ukibahatika kupata meza sokoni ukauza mali kavu changanya na mbichi kidogo

Fungua genge litengeneze vizuri weka mzigo pembeni yake kaanga samaki

Nenda kilabuni chukua chumba tafuta muhudumu wa kilabuni mzoefu,weka local bia na pombe za kienyeji wewe uwe unakaa counter..ndani mle jenga counter ya mbao

Tafuta mwenyeji kijijini awe unakukusanyia kuku kwa bei ndogo zikitimia idadi unazotaka unaenda kulipa na kurudi na mzigo unakuja kuuza kwenye bar/hotel
 
Asante kwa ushaur mzuri
 
Nipo chuo mwaka wa kwanza na natamani kuanzisha biashara ya mtaji wa laki tano,biashara ambayo nitaweza ku balance mda wangu wa masomo na kuisimamia ushauri bros
 
Jaman wana jf me nina mtaji wa 1mil. Ninahitaj kufungua biashara ya mahitaji ya nyumbani je,, inafaa kama haifai naomben ushaurii..
 
Je umejaribu kuangalia unapotaka kufungua ..watu wanaitaji na iyo huduma ,maana usije fungua kisa na wewe uonekane una biashara
 
Nipo chuo mwaka wa kwanza na natamani kuanzisha biashara ya mtaji wa laki tano,biashara ambayo nitaweza ku balance mda wangu wa masomo na kuisimamia ushauri bros

Fungua any online business and uza una chopenda

So utakuwa unawauziwa watu mbali mbali ata wanafunzi wenzio ..unaweza amua uza nguo ,viatu vya kiume au vya kike nafikiri itakuwa rahisi kwako kusimamia
 
Habari JF

Naamini duniani akuna kipya kwamba watu hawajakiona au kukisikia na wengine kukifanya kabisa!

Nina mtaji wa laki je ni biashara gan naweza kuifanya ata kwa kuniingizia faida ya buku kwa sku...
 
Back
Top Bottom