Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mbona mtaji unao tayari.Zote hizo unaweza kuzifanya.Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ukipata kijana vifaa vya mambo ya kucha havizidi laki na nusu.Ukiamua kuanza na yale makontena ukapata kijana anaanza mdogo mdogo juisi,maji na soda kwa kununua barafu na kulipondea huko haizidi laki 2 na chenji inabaki.Tafuta hivyo vifaa uanze usilaze damu Muda ndo huu.
 
ii inatosha, mkuu
 
kama kianzio unacho...Muombe tu Mungu...akuongoze ufanye biashara yenye kuingiza faida
 
Kama mshahara unao it means hauna muda wa kufanya kazi ?

Kama utaajiri mtu kushindwa au kufanikiwa sio necessarily tatizo la biashara.., inaweza ikawa location, utendaji kazi mbovu au kukosa uaminifu wa mfanyakazi..

Conclusion kufanikiwa kwako kwenye hili haitakuwa sababu ya aina ya biashara bali ufanyaji wa biashara
 
yaani sina mshahara, ndo kwanza npo chuo mwaka wa kwanza naenda wa pili.

na nakaa nyumbani, na kama nmeandika mshahara basi nmekosea.
 
Kabla ya kujua upakaji rangi ni mzuri au mbaya ulishaufanya ?, stand kuuza vinywaji kibanda unacho ? Kila kitu mtu kujifanya inategemea yeye na mazingira yake ndege mmoja mkononi ni bora kuliko kumi mtini kwahio fanya cha urahisi kwako ambacho resources tayari unazo
 
yahh mzee naweza vizuri, na stand nshapajui kati kati ya mji kabisa, kuna binti nmezoeana nae kidogo ua ananipa story.
 
I guess uandishi umekushitua

Sijisifiii..nilipoanza darasa la 1 mwezi wa6 mwalimu mkuu akaniteua nikawa naandika barua za shule nakusoma barua za shule enzi hizo miaka ya kweusi..! imagine darasa la kwanza nasoma vzr sana alafu ni mdg nasimama assembly nasimamia stuli!sio nalazimisha tufanane jaman mtu wa chuo unaandika neno"apa" au ni zoom polytechnic college mnasema chuo kikuu😂😂😂
 
Duu wewe sio wa mchezo kumbe
 
na kweli ni wa la kwanza, umethibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…