Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nilijua ni vile vya kimasai...


Samaani Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye comment yangu nimesema “kama vya kimasai” sijasema vya kimasai

Na vya kimasai vipo vya bei hiyo ila havina shanga, vya shanga ni 6,500

Usiwe mwepesi kubisha kama hujawahi kufanya hicho kitu, mm nimeuza viatu vya kimasai nilikua navifata hadi Boda ya tarakea huko nikikuambia bei utabisha[emoji28][emoji28]

Nguo za laki3 kuna machimbo unazipata kwa 50k-100k tu

Bila samahani’ usijali mwaego
 
Nipe Location Duka lilipo.

Manzese kuanzia kituo cha bakhresa hadi darajani upande wa kushoto kma unatokea mjini
Kuna sehem nyingi ila ni ndani ndani mpk uwe unaijua mitaa
Au ukifika chukua boda mwambie nipeleke kwenye viatu vya jumla
Kama ni mwenyeji ile mitaa ya sokoni kwa nyuma wapo wengi tu ni wewe na uchaguzi wako na hela yako
Maana vipo vya aina nyingi
 
Mi Nipo Mkoani nataka nimuagize Jamaa angu, Ngoja nimpe haya Maelekezo
 
Mkuu Kama hautojali Naomba Picha za viatu aina tofauti tofauti
 
[Yah itakuwa poa sn km akikaziaUOTE="geofreyngaga, post: 33965689, member: 245253"]
Mkuu naomba uelezee hii bzness ikoje I mean nini unatakiwa kua nacho, kufanya, jinsi gani ya kutafuta wateja, na jinsi gani unaweza kipata mapato. Nipo ktk mazingira yanayonishawishi kufanya hii kitu lkn nakosa ABC zake. Kama hutojali tuwasiliane hapa 0652494919
[/QUOTE]
 
Kazia maarifa kaa
 
Chakata karanga uuze
Chakata pilipili upack
Uza mitumba kasort ilala huko.
Uza matunda uyaweke katika hali nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…