Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mkuu mi nafkiria kufanya hii biashara, hivi balo la nguo za watoto ni kiasi gani?nilienda pale nikakutana na madalali nikaondoka,pili je hawabambiki na malonya hata ukichukua namba 1?


Nenda stoo kwao huko kkoo! Mnazi mmoja..kuna brand nyingi km 8! Wauloze moja baada ya nyinhine..kuna zingine ni miaka 0-5, 0-3, nk nk...! Uliza wakuammbie .ukishindwa hili(kwaajili ya uoga wako) nend manzese ..kuna kaka anaitwa "wonder" .famous hv anafungu sana nguo za watoto akusaidie!hana hiana!
 
Habri wakuu, mimi ni kijana naomba mnijuze wazo la biashara ama kipi kufanya ili kwenda na hali ya uchumi. Kwa mtaji wa laki 5 ni kipi naweza anzisha na kukomaa nacho eg banda la chips au nguo etc.

Yaani wazo lolote ntalifanyia kazi kama nikipata mchanganuo mzuri na kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assnte

tatizo lugha
 
Hellow ndg polen na majukumu...NAOMBA KUULIZA SEHEMU WANAYOUZA MABELO YA MITUMBA KWA JUMLA... HAPA DAR ES SALAAM NA NI KUANZIA SHILINGI NGAPI??
 
Hellow ndg polen na majukumu...NAOMBA KUULIZA SEHEMU WANAYOUZA MABELO YA MITUMBA KWA JUMLA... HAPA DAR ES SALAAM NA NI KUANZIA SHILINGI NGAPI??
Mtaa wa Lindi na Bibi Titi naiona ipo mengi. Bei Itategemea mtumba wa bidhaa gani kuna mitumba mpaka ya bikini
 
Laki moja ni memory cards copy(low quality)50, gross capital umesema laki 2, Kuzijaza nyimbo za low quality memory 1 Tshs Mia moja(100)
memory cards 50=5000
Inabaki 95
Elfu kumi unanunua battery 10 BL 5c @1000×10=10000
inabaki 85,
Unakuja huku Kwa kina wema sepetu ,unaanza kwenda vijijini Within week Ela imerudi sizungumzii ushabiki nazungumza hali halisi
hizo mem cards kila namba ni 2000 wholesale
Utaamua we we uuze Elfu 5,elfu 10, Au kila namba kwa being ya original,.
Battery utauza 5000,7000, 3000,inategemea na were unataka faida kiasi gani,.Sasa hivi biashara mbovu huku watu wapo mashambani wanalima Soon Tarehe za katikati mwezi wa Tatu Biashara itakuwa nzuri sana both mjini na vijijini maana mavuno yatakuwa tayari sokoni hiyo italast mpaka mwezi wa kumi mpaka wa kumi na moja,
Karibuni singida pia siyo lazima ufanye biashara nlokuandikia hapo juu Njoo tafuta fursa zako Uzifanye in unique way
Use brain Heriel
 
Naitaji hii business, unansaidiaje nguo za ndani za wadada
 
Kuna mtu ana mtaji 100000 anatamani afanye biashara ila hajui afanye biashara gani , Mwingine ana 200000 hivyo hivyo naye . Mwingine 500000 , mwingine 1000000 mwingine anayo 2000000 na mwingine 5000000 . Wote wapo hapa JF wanahitaji ushauri .

Swali ni je hawa watu wanatofautiana nini tangia mwenye 100000 mpaka mwenye 5000000 ? Huyu mwenye 100000 leo ghafla akapata 5000000 naye atakuja tena kuomba ushauri ?

Wajasiliamali na wafanya biashara njooni mnisaidie, hawa watu wanapungukiwa nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zanguni Mimi nipo songea nna kiasi Cha tsh 500000 natamani nifanye biashara

Naomba ushauri biashara gani ntafanya kwa mtaji huo?

Natumai mtanisaidia ushauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…