Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Vp kuhusu karanga mkuu.?
 
Hayo maneno ya mwisho kwenye kipengele no.4 nayakazia aisee.
Nilishindwa kabisa kufanya mambo tofauti yasiyohitaji elimu niliyosomea kisa aibu na uwoga wa kukosolewa,kusemwa nk mpaka ikanilazimu nihame mkoa niliozoeleka.

Kweli katika zile basic human fears za mwanadamu,FEAR OF CRITICISM ndo adui kubwa na elimu ya darasani ndo inayompa kichwa huyu adui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa angu usione aibu kabsa maana maisha yako yasipo badilishwa na ww bac hamna mwingine wa kuyabadilisha kabisaaa
 
Huku tunajadili mambo ya msingi,angalia maneno ya kutumia. Mapovu ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…