Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mi mzima kabisa vipi wewe ?, wasalimu huko ulipo
Hamna mtu anakuibia babe, uwe na amani jimbo linakusubiri wewe uliyepita bila kupingwa😀😀😀Salamu zimefika.
Jimbo lipo wazi kweli? au kupotea kwangu ndio nimeibiwa na kuibiwa[emoji23][emoji23]
Hili bonge la wazo ingawa wengi wanaponda sana. Ninakolima shamba mkaa loba lumbesa ni Tshs 10,000/= na GOMS mkaa loba ni 50,000/= sababu jirani na ndiko unakofikia toka pori lakini unavyozidi kuingia mjini bei inafika mpaka Ths 80,000/= kwa gunia. Kwa kuuza rejareja hutakosa 80,000/= - 100,000/= kwa gunia.Fanya biashara ya mkaa, tengeneza kibanda kisichozidi gharama 50,000/= Fata mkaa porini mwenyewe uje uuze mjini.
Usisahau nidhamu ya fedha.
Mkuu zingatia hili swalaLeta tutrade FOREX
Mi naona kila aliekoment umu nimpe 10000.aje na 20000.alf tutengeneze kampuni
Mkuu zingatia hili swala
Forex trading. FOReign EXchange it can be Currency EURGBP, CADJPY or Indices na commodities kama NASDAQ100, Energies, metals n.kIkoje hii
Edger achana na forex fanya biashara zinazogusa jamiiForex trading. FOReign EXchange it can be Currency EURGBP, CADJPY or Indices na commodities kama NASDAQ100, Energies, metals n.k
Unaweka pesa kupitia brokers ambapo yeye anakuunganisha na global market kwa ajili ya kuanza kufanya trading ambapo huko kuna selling na buying.
Mkuu unaifahamu FOREX hata concept au idea nayo?Edger achana na forex fanya biashara zinazogusa jamii
Mkuu utakuja kujilaumu kwa nini hujanisikiliza. Kaa tulia fanya maamuzi utakayofurahia.Mh kwakwel ngoja nitulie vzr.
Nawashukuruni
Duuh umelenga mle mle ila sio huko ila ni kama unaelekea huko sPori wapa chole au masanga
Gharama za usafiri vp gari inafika huko na vibali vpPori wapa chole au masanga
inategemea msimu yaani mvua na pia inategemea usafiri unaotumia kama unafuata na pikipiki au unaenda na fuso barabara nyingine fuso haipiti ni pori sana . Vibali viko vya msimu vya fuso na kuna kulipia kwenye mageti hapo ndio inabidi mhusika aende akazijue taratibu huko (mageti yapo matatu ) huko nauli mbona elfu 5 tu kwenda. Gesti kule haifiki elfu 10. Mi sifanyi biashara hiyo ila juzi nimekuja na nusu loba la mkaa bure na kule nimechota tu kwa mshikaji. Nilikuwa nina tenga chini nililaza mkaa kwenye kiloba jaza papai.Gharama za usafiri vp gari inafika huko na vibali vp
Then ikawaje?nimetrade forex miaka mitatu
Pori gani mkuu? mkoa gani kabisa mtu ajitoseHili bonge la wazo ingawa wengi wanaponda sana. Ninakolima shamba mkaa loba lumbesa ni Tshs 10,000/= na GOMS mkaa loba ni 50,000/= sababu jirani na ndiko unakofikia toka pori lakini unavyozidi kuingia mjini bei inafika mpaka Ths 80,000/= kwa gunia. Kwa kuuza rejareja hutakosa 80,000/= - 100,000/= kwa gunia.
MI nategemea kuifanya ila mimi nitachukua hari lote yaani magunia yasiyopungua 28 halafu nauza reja reja.
Pamoja sana.
Ila inabidi aende site huko pori i ajue network yote na logistics za kuleta mjini. Kama ni mtu wa kukaa mjini kuangalia TV asahau kupata hela.
Dah...toa 10%.. yaani 70k Katie sadaka...kisha toa 300K kajipe raha...toa 100K wape wazazi....kisha inayobaki nunua kuku wa kienyeji...[emoji2960]Habarini za mihangaiko.
Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.
Tafadhali nisaidieni.