Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mtu mwenye hela halafu hajui aifanyie nini,Huyo mtu hata ukimshauri hatofanya unachomshauri na kama akifanya,hatofanikisha lazima kifeli na atarudi kwako akwambie ulimuingiza "chakike"

mtu timamu mwenye nia ya biashara (ujasiriamali),Kabla hajashika hata senti 5 tayari ana plan za biashara hata 20 kichwani mwake yani kabla hajaishika hela tyr hela ashajua ataifanyia nn endapo akiipata,Ila hawa ndugu zangu wanao uliza "wafanyeje" kwenye

hela walizonazo asee hawa ushauri pekee unaowafaa nikuwashauri "hiyo hela wanunue nyama choma wale" au watafute mtu anaejua cha kuifanyia wampe aitumie,Hawa ni type ya kina Laizer au wale wazee wa kubet "hela imewafikia ki suprise"
Mipango bila pesa ni matumiz mabaya ya akili.
 
Tafuta kamera ya wastani na vipuli vyake,

Upige pcha na urekod video za harus na n.k

Ukikua mtaji nitafute nikupe consistency[emoji854]
 
Habarini za mihangaiko.

Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.

Tafadhali nisaidieni.
Hongera kwa hatua nzuri naona mwanzo mzuri kutoka kwako.
Nashauri ACHA papara kwanza.
Iweke pesa kwenye bank account au mpesa/tigopesa arafu tulia kama haipo hata kwa mwezi mmoja.

Muhimu jipe utulivu kwanza .

Sina wazo la kukupa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom