EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Gawa kwa masikini na mkono wako utabarikiwa utapata kingi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipango bila pesa ni matumiz mabaya ya akili.Mtu mwenye hela halafu hajui aifanyie nini,Huyo mtu hata ukimshauri hatofanya unachomshauri na kama akifanya,hatofanikisha lazima kifeli na atarudi kwako akwambie ulimuingiza "chakike"
mtu timamu mwenye nia ya biashara (ujasiriamali),Kabla hajashika hata senti 5 tayari ana plan za biashara hata 20 kichwani mwake yani kabla hajaishika hela tyr hela ashajua ataifanyia nn endapo akiipata,Ila hawa ndugu zangu wanao uliza "wafanyeje" kwenye
hela walizonazo asee hawa ushauri pekee unaowafaa nikuwashauri "hiyo hela wanunue nyama choma wale" au watafute mtu anaejua cha kuifanyia wampe aitumie,Hawa ni type ya kina Laizer au wale wazee wa kubet "hela imewafikia ki suprise"
sawa! subiri ukipata hela ndio uje uulize uifanyie nini....Mipango bila pesa ni matumiz mabaya ya akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnataka mmpige dogo ki hela chake dadekNiazime hio laki 7 irudi mwezi wa 10 tarehe 15 na faida juu!
Hapo anamaanisha anunue turubai na kuweka kama paa ili apambane na upepo50,000??
Unaweka bond niniNiazime hio laki 7 irudi mwezi wa 10 tarehe 15 na faida juu!
Bond ni cheti cha Degree mkubwa!unaweka bond nini
Wa dregeree haandikagi hivi 😂😂Bond ni cheti cha Degree mkubwa!
We sema uko wapi nikuletee cheti unipe hio hela, acha porojo!Wa dregeree haandikagi hivi 😂😂
Hongera kwa hatua nzuri naona mwanzo mzuri kutoka kwako.Habarini za mihangaiko.
Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.
Tafadhali nisaidieni.
You're missed rafiki!Pita hapo huku ukiwa unasubiri wadau.[emoji1540][emoji1540]
You're missed rafiki!
Mi mzima kabisa vipi wewe ?, wasalimu huko ulipoMiss you sana mama.
U Mzima lakini?