Ndiyo,Wewe unafanya hivyo?
Ili tujue kama kuna faida
Nilianza kwa kununua mayai na baadae kuuza, sasa hivi nina shamba langu mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,Wewe unafanya hivyo?
Ili tujue kama kuna faida
Njoo ujifunze mtaji ni kuanziae 23,000/=Jamani mimi nina laki moja na nusu mnanishauri nifungue biashara gani litakalonisaidia kuongeza kipato changu na kujikimu mahitaj yangu.Nisaidien
Karibu tufanye kazi katika kujikwamua na umaskini kwa 23,000 tuHabari zenu wakubwa wa humu mimi ni kijana wa miaka 20 nimejaribu kuja town (Mwanza) kupambana ila maisha ya hapa kidogo naona kama hayana mwelekeo nimeamua nirudi Kijijini Karagwe murshaka na kwa sasa nina laki mbili tuu naomba kwa anaefahamu hayo mazingira/ au kwa hata asiefahamu anipe wazo linaloweza niimarisha kidogo.
Wazo langu nililo liwaza ni niende nitengeneze banda la kuku ninunue kuku wa 150k baada ya kama miezi 6 nianze kuwa naleta kuku mjini na kuuza.
Mwenye mbinu /uchambuzi na msaada zaidi naomba mnipe mawazo.
Nitashukuru kwa michango ya mawazo yenu.
Jiunge na link hii upate elimu mtaji ni Tsh 23,000/=tuNaweka kambi hapa.....mtutoe tongotongo wajuvi
Jiunge group hili ujifunze hutojutaNina mtaji wa laki 7, hivi ni Biashara gani naweza kufanya ambayo itaniingizia faida kubwa kwa muda mfupi [emoji120][emoji120][emoji120]
acha utapeli we dogo
Fikra hizo ndizo zinafanya muwe Masikini mda wote mnawaza kutapeliwa.utakuja kupata ukweli utajilaumu.ingia fuatilia mafunzo uone ili useme ni utapeli.acha utapeli we dogo
acha utapeli dogoFikra hizo ndizo zinafanya muwe Masikini mda wote mnawaza kutapeliwa.utakuja kupata ukweli utajilaumu.ingia fuatilia mafunzo uone ili useme ni utapeli.
Pita hapo huku ukiwa unasubiri wadau.[emoji1540][emoji1540]
Fanya biashara ya mkaa, tengeneza kibanda kisichozidi gharama 50,000/= Fata mkaa porini mwenyewe uje uuze mjini.Habarini za mihangaiko.
Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.
Tafadhali nisaidieni.
AiseeeMkubwa kama hutajali nipatie hiyo pesa sitakuangusha kabisa itarudi na faida ya kutosha kama nikiingiza kwenye hizi biashara zangu za radio
Mkuu Liquid unapajua?Habarini za mihangaiko.
Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.
Tafadhali nisaidieni.
Mkuu Liquid unapajua?