Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

1:Upo mkoa gani ?
2: una kipato kingine au ndo pesa ulonayo hiyo hiyo unayotakiwa kuendesha maisha yako.
3: hiyo laki 7 umeipata katika shughuli gani? Mkopo, umesaidiwa, umeuza kitu, biashara au malipo baada ya kufanya kazi flani
 
Fanya biashara ya mkaa, tengeneza kibanda kisichozidi gharama 50,000/= Fata mkaa porini mwenyewe uje uuze mjini.

Usisahau nidhamu ya fedha.
Hili bonge la wazo ingawa wengi wanaponda sana. Ninakolima shamba mkaa loba lumbesa ni Tshs 10,000/= na GOMS mkaa loba ni 50,000/= sababu jirani na ndiko unakofikia toka pori lakini unavyozidi kuingia mjini bei inafika mpaka Ths 80,000/= kwa gunia. Kwa kuuza rejareja hutakosa 80,000/= - 100,000/= kwa gunia.

MI nategemea kuifanya ila mimi nitachukua hari lote yaani magunia yasiyopungua 28 halafu nauza reja reja.
Pamoja sana.

Ila inabidi aende site huko pori i ajue network yote na logistics za kuleta mjini. Kama ni mtu wa kukaa mjini kuangalia TV asahau kupata hela.
 
Ikoje hii
Forex trading. FOReign EXchange it can be Currency EURGBP, CADJPY or Indices na commodities kama NASDAQ100, Energies, metals n.k

Unaweka pesa kupitia brokers ambapo yeye anakuunganisha na global market kwa ajili ya kuanza kufanya trading ambapo huko kuna selling na buying.
 
Edger achana na forex fanya biashara zinazogusa jamii
 
Gharama za usafiri vp gari inafika huko na vibali vp
inategemea msimu yaani mvua na pia inategemea usafiri unaotumia kama unafuata na pikipiki au unaenda na fuso barabara nyingine fuso haipiti ni pori sana . Vibali viko vya msimu vya fuso na kuna kulipia kwenye mageti hapo ndio inabidi mhusika aende akazijue taratibu huko (mageti yapo matatu ) huko nauli mbona elfu 5 tu kwenda. Gesti kule haifiki elfu 10. Mi sifanyi biashara hiyo ila juzi nimekuja na nusu loba la mkaa bure na kule nimechota tu kwa mshikaji. Nilikuwa nina tenga chini nililaza mkaa kwenye kiloba jaza papai.

Pia papai ni biashara poa sana kule kule papai 300/= au 400/= hapa mjini papai 1500 - 2000/= huyo jamaa anaetaka fursa baadae angejipanga angepata eka 2 tu za shamba baada ya mwaka angeanza pata pesa ya papaya ndeeefu. Ila akubali kusota miezi sita au saba papaya inaota.
 
Hili bonge la wazo ingawa wengi wanaponda sana. Ninakolima shamba mkaa loba lumbesa ni Tshs 10,000/= na GOMS mkaa loba ni 50,000/= sababu jirani na ndiko unakofikia toka pori lakini unavyozidi kuingia mjini bei inafika mpaka Ths 80,000/= kwa gunia. Kwa kuuza rejareja hutakosa 80,000/= - 100,000/= kwa gunia.

MI nategemea kuifanya ila mimi nitachukua hari lote yaani magunia yasiyopungua 28 halafu nauza reja reja.
Pamoja sana.

Ila inabidi aende site huko pori i ajue network yote na logistics za kuleta mjini. Kama ni mtu wa kukaa mjini kuangalia TV asahau kupata hela.
Pori gani mkuu? mkoa gani kabisa mtu ajitose
 
Habarini za mihangaiko.

Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.

Tafadhali nisaidieni.
Dah...toa 10%.. yaani 70k Katie sadaka...kisha toa 300K kajipe raha...toa 100K wape wazazi....kisha inayobaki nunua kuku wa kienyeji...[emoji2960]
 
Write your reply...nenda kule la liga chagua timu 2 za uhakika tia mzigo wote lala kesho asubuh amkia palepale ulipotia mzigo halafu utachokikuta ndo halali yako
 
Back
Top Bottom