Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Pori gani mkuu? mkoa gani kabisa mtu ajitose
Utaenda kupoteza hela huko, Logistics za kuleta mkaa mjini lazma uwe CON-TAWA! Kuna hela nyingi sana utawaachia Maliasili hapo Road na lazma uwe na vibali vya kueleweka.

Sikukatishi tamaa ila nakupa alert. Hii michongo ya kupeana story vijiweni ishatu cost sana.
 
Mkuu mkoa gani huu yaani ni sehemu gani naomba uniambie
achana na biashara ya mkaa kupata hela inabidi wewe mwenyewe ufanye kazi nyingi na ikiwezekana na kuuza pia, kwa nyie wenye "vyeti " vinavyothibitisha kisomo na ujuzi ulionayo hamyawezi mambo haya. Mkaa inabidi ujitoe ufahamu.
 
Kuna jamaa tulikuwa tunashirikiana kulima bamia, nikampa zaidi ya Tsh 200,000 tangu 2019 mpaka leo jamàaa stori nyiiingi za kiswahili na pesa haijawahi kurudi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli kak umenena hapo.
 
Jamn wajumbe wa JF me ninataka kufungua biashara ya chipsi,
Naomben ushauri wenu wajumbe naanzaje hapo
 
Asipokuelewa atakuelewa baadaye akiwa porini kama anodi jini full masizi

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu kuna hela nimeipata ipoo kama laki tano nataka niifanyie biashara ambayo itayonilipa

Angalau nisikose hela ya kula, hela ya kulipia chumba msaada wandugu mie ndo naanza maisha
 
Fungua kijiwe Anza kukaanga vipande vya kuku.
Kwa siku utalaza hela na utapata kitoweo humo humo.ndani ya mwezi na nusu hela itakua imerudi na zaidi.
Zingatia kutafuta kijiwe kilichochangamka Kama stendi/sokoni
 
Ndugu zangu kuna hela nimeipata ipoo kama laki tano nataka niifanyie biashara ambayo itayonilipa

Angalau nisikose hela ya kula, hela ya kulipia chumba msaada wandugu mie ndo naanza maisha
Biashara gani ulikua na idea nayo nikusaidie kupata Kwa jumla mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…