OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Unadhani kila siku hao kuku ishirini wataisha?1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutia
2.fungua vijiwe hata vitano vya kukaanga kuku wa kisasa ambapo kila kijiwe kiuze angalau kuku ishirini tu kwa siku, hapa itabidi uwe na vijana wa kukusaidia kwa simu lipa 5000 kwa kila kijana
Initially unajidanganya, sio rahsi kama unavyofikria , makadrio yako sio Uhalisia wa mambo , project ni nzuri ila inahtaj juhudi, uvumilivu na nidhamu1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutia
2.fungua vijiwe hata vitano vya kukaanga kuku wa kisasa ambapo kila kijiwe kiuze angalau kuku ishirini tu kwa siku, hapa itabidi uwe na vijana wa kukusaidia kwa simu lipa 5000 kwa kila kijana
Sasa n vijana wasivyo waaminifu, ataishia kulia tu.Initially unajidanganya, sio rahsi kama unavyofikria , makadrio yako sio Uhalisia wa mambo , project ni nzuri ila inahtaj juhudi, uvumilivu na nidhamu
uko sehem ganWakuu Habari baada ya kuonekana kuna shida ya ajira mtaani
Nimeweza kupata kiasi cha Tsh laki Moja sasa Hapa nilikuwa naomba msaada wenu wa Mawazo Shughuli gani ninaweza kufanya maana hii hela niliyonayo ni ya mkopo wakuu natakiwa kurudisha mwezi wa 4.
Nipo dsm mkuuUpo wapi kwanza kabla ya kupewa idea.
Hii biashara changamoto Eneofungua baishara ya genge au kuuza matunda
You must be kidding.Kopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.
Mkuu wewe huwa ni mjuzi wa Nini?Ngoja wajuzi wa business idea waje
Tatuta hata sehemu ya kukodi mtaani uweke meza uanze kupiga mpunga
Biashara nzuri hii, ila wakopaji hawana woga yaan mtu anachukua na mnaandikishiana kbs ila changamoto muda ukifika utapigwa danadana za kila namnaKopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.
Ngoja nijaribu hii nione inaendajeTatuta hata sehemu ya kukodi mtaani uweke meza uanze kupiga mpunga