Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutia

2.fungua vijiwe hata vitano vya kukaanga kuku wa kisasa ambapo kila kijiwe kiuze angalau kuku ishirini tu kwa siku, hapa itabidi uwe na vijana wa kukusaidia kwa simu lipa 5000 kwa kila kijana
Unadhani kila siku hao kuku ishirini wataisha?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutia

2.fungua vijiwe hata vitano vya kukaanga kuku wa kisasa ambapo kila kijiwe kiuze angalau kuku ishirini tu kwa siku, hapa itabidi uwe na vijana wa kukusaidia kwa simu lipa 5000 kwa kila kijana
Initially unajidanganya, sio rahsi kama unavyofikria , makadrio yako sio Uhalisia wa mambo , project ni nzuri ila inahtaj juhudi, uvumilivu na nidhamu
 
Sasa n vijana wasivyo waaminifu, ataishia kulia tu.
 
Wakuu Habari baada ya kuonekana kuna shida ya ajira mtaani

Nimeweza kupata kiasi cha Tsh laki Moja sasa Hapa nilikuwa naomba msaada wenu wa Mawazo Shughuli gani ninaweza kufanya maana hii hela niliyonayo ni ya mkopo wakuu natakiwa kurudisha mwezi wa 4.
 
uko sehem gan
 
Kopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.
Biashara nzuri hii, ila wakopaji hawana woga yaan mtu anachukua na mnaandikishiana kbs ila changamoto muda ukifika utapigwa danadana za kila namna

Aingie akiwa na tahadhari maana kuna uwezekano wa kupoteza mtaji maana huku mtaani wakisikia unakopesha wanafanya kuambiana waje kukopa ila shida ndio kwenye malipo
 
Back
Top Bottom