mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mimi sio mtu wa biashara ndogo lakini toka nifilisike nilijua ukubwa wa biashara ya ndizi,malimao ,machungwa (matunda na mboga za majani na hata karanga)Habarini ndugu zangu, nilikuwa naomba nisaidiwe msaada wa kimawazo ya biashara kutoka kwenu ndugu zangu.
Hapa nilipo nina kiasi cha shilingi laki moja na nusu, so nilikuwa naomba msaada wa Wazo la biashara ambalo litaweza kufit kutokana na hiki kiasi cha pesa nilichonacho.
Hahahahahahaha tupe uzoefu mkuu maana namimi nakaribia kufilisikaMimi sio mtu wa biashara ndogo lakini toka nifilisike nilijua ukubwa wa biashara ya ndizi,malimao ,machungwa (matunda na mboga za majani na hata karanga)
Nilikuwa nafanya biashara zangu za uwakala mpesa,tigopesa nk,Tozo zilivyokuja,frem likapanda bei nikaona kuwa Sasa kamisheni ni ndogo kuliko gharama za uendeshaji ofisi,ikabidi niende sokoni na elfu 50 nikanunua matunda ,nkatengeneza meza nje maisha yakaenda vizuri faida Kama 8k per day ipo na haizuii mishe zingineHahahahahahaha tupe uzoefu mkuu maana namimi nakaribia kufilisika
Eeh hapo uhakika yani 8K hela nzuri sana mbonaNilikuwa nafanya biashara zangu za uwakala mpesa,tigopesa nk,Tozo zilivyokuja,frem likapanda bei nikaona kuwa Sasa kamisheni ni ndogo kuliko gharama za uendeshaji ofisi,ikabidi niende sokoni na elfu 50 nikanunua matunda ,nkatengeneza meza nje maisha yakaenda vizuri faida Kama 8k per day ipo na haizuii mishe zingine
Njoo inbox tujaliNina mtaji wa laki 9 nataka kuanzisha biashara. kwa mchanganuo naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo naweza fanya kwa mtaji huo? Nipo Dar na sijapanga
Hivi ukiweka 8k maana yake Ni laki??? Au 😥Eeh hapo uhakika yani 8K hela nzuri sana mbona
Elfu nane (8,000/=)Hivi ukiweka 8k maana yake Ni laki??? Au [emoji26]
8000Hivi ukiweka 8k maana yake Ni laki??? Au 😥
Unatafuta wakukejeli tuNina mtaji wa laki tano nianzishe biashara gan?
Nina mtaji wa laki tano nianzishe biashara gan?
Wazee wa inbox [emoji3]Tafuta kima Cha chini $50 utengeneze $5 kila siku isipokuwa jumamosi na jumapili ni siku ya kulipa kwa walioomba kutoa Pesa kwenye kampuni. Karibu. Inbox number ya WhatsApp tuelekezane.