mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mimi sio mtu wa biashara ndogo lakini toka nifilisike nilijua ukubwa wa biashara ya ndizi,malimao ,machungwa (matunda na mboga za majani na hata karanga)Habarini ndugu zangu, nilikuwa naomba nisaidiwe msaada wa kimawazo ya biashara kutoka kwenu ndugu zangu.
Hapa nilipo nina kiasi cha shilingi laki moja na nusu, so nilikuwa naomba msaada wa Wazo la biashara ambalo litaweza kufit kutokana na hiki kiasi cha pesa nilichonacho.