spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri
Baadhi ya bidhaa adhimu kwa ajili ya mfungo hasa paste, mafuta ya kupikia, sukari, juice, vipo sehemu kwa bei chee sana uki opt aina hiyo ya biashara ni text nikupeleke. Nguo ni sahihi ila naona kama utasubiria wateja muda mrefu.
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?
Kutokea hapo unaweza ukaendelea, au ukabadili biashara, au ukaendelea na biashara zote pia. Ngoja pia kesho nitaangalia pale ofisini na pamoja na kukutana na wadau ni namna gani unaweza kununua kitu cha mara moja kwa hela km hiyo au chini ya hapo afu muda huo huo ukampelekea mtu akakupa hela zaidi hivyo unapata faida wkt unasubiria biashara yako kuanza.
Kaka nenda kijiji kimoja kinaitwa mdwema nunua kuku wa kienyeji peleka pale heritage cottage utatoka ss hv usipuuze!!
Ngoja nikuuzie shuka kwa jumla,ni za cotton kama upo maeneo ya mjini,upitishe katika maofisi,
[h=2][/h]Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?
Kaka nenda kijiji kimoja kinaitwa mdwema nunua kuku wa kienyeji peleka pale heritage cottage utatoka ss hv usipuuze!!
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?
mkuu jawilat bei ziko vp na package yake ikoje?
Ahsante sana kazi njema
kodi 900k umebakiwa na 600k? mmh!
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri
Bei ni 25000 shuka zipo mbili size ni 6x6 pamoja na foronya,unafungashiwa vizuri unafikishiwa ulipo,