Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Jamani ndugu tujaribu kupendana sisi wote ndugu matusi na kushafiana haifai kabisaaa na haileti picha nzuri so sio vizuri ndugu zangu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
wakati mwingine moderator wawe wanaangalia takataka kama hizi kwenye majukwaa serious wapigeban hata ya sku mbili!Great thinker imekuwa 0 thinkers. .. div 5 @ work
Join Date : 15th June 2014....
Inaoneka umejiunga baada ya kumaliza form 6 mwaka huu! Umepataje kwenye BRN?
[=kan'tangaze;10172831]Hata nikikuwekea itakusaidia nn??? Spo k show off but chunga usdharau usio wajua (MKUU NAFIKIRI WEWE NDO UNA DHARAU, UNAFIKIRI USHAURI ULIOUTOA KWA MTOA MADA UNASADIFU ELIMU UNAYOJINASIBU KUWA NAYO?.
ok poa wangu by g busnez
mtaji wa laki 5 ni biashara gani naweza kufanya na ikanilipa?
Kiongozi awali ya yote wewe upo mkoa gani
nunua mbuzi kila mbuzi elfu 30 km bda ya miez sita utanambia