Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Jamani ndugu tujaribu kupendana sisi wote ndugu matusi na kushafiana haifai kabisaaa na haileti picha nzuri so sio vizuri ndugu zangu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kuna wadudu wanaudhi sana!
 
Mkuu laki Tano..ni mtaji mkubwa sana kama ukiamua kuifanyia kazi...na ukiwa na malengo ya muda mrefu...fuatilia kwa umakini mkubwa michango inayotolewa na wadau...Nina amini hautatoka mtupu...vile vile usisahau kuchungulia jukwaa la wajasiliamali...Kule pia kuna nondo za kumwaga...

Nina amini laki tano yako...itakuwa bilioni tano baada ya muda mfupi sana...acha comments za watu wanaokuponda...wafanye kama daraja la kuelekea kwenye malengo yako...NAKUTAKIA KHERI...
 
Join Date : 15th June 2014....
Inaoneka umejiunga baada ya kumaliza form 6 mwaka huu! Umepataje kwenye BRN?

ulichopost pale juu hakina maana, daima usimkatishe tamaa mwanadamu mwenzako!
 
[=kan'tangaze;10172831]Hata nikikuwekea itakusaidia nn??? Spo k show off but chunga usdharau usio wajua (MKUU NAFIKIRI WEWE NDO UNA DHARAU, UNAFIKIRI USHAURI ULIOUTOA KWA MTOA MADA UNASADIFU ELIMU UNAYOJINASIBU KUWA NAYO?.
 
[=kan'tangaze;10172831]Hata nikikuwekea itakusaidia nn??? Spo k show off but chunga usdharau usio wajua (MKUU NAFIKIRI WEWE NDO UNA DHARAU, UNAFIKIRI USHAURI ULIOUTOA KWA MTOA MADA UNASADIFU ELIMU UNAYOJINASIBU KUWA NAYO?.

Nenda ktk page ya kwanza ya uzi huu uone nan alcomment utumbo halafu utaelewa kwann nlmjbu hvo.hawez mwambia mwenzei aende bar wakat ye anataka kujkwamua kmaisha.fuatlia vzur kabla ta kuncomment
 
je una mtaji mdogo na unahitaji kufanya biashara itakayokupatia kipato kizuri
karibu kwenye mkutano wetu utakaofanyika juma mosi saa nane na nusu mchana

kuna vijana ambao watakushirikisha fursa mbali mbali za kutengeneza mkondo wa biashara(system) ambayo inaweza ikakusaidia katika harakati zako za kukuza biashara yako

kumbuka hata kama una laki tatu unaweza ukaanzisha biashara ambayo itakuja kuwa kubwa

shiriki nasi kesho katika ukumbi uliopo maeneo ya makumbusho kituo cha mabasi muda sa nane na nusu katika jengo lenye uchumi super market KWA mawasiliano piga 0657088003
 
bora kufungua genge kuliko kutembeza mabesenh na chupa za chai au afadhali kuwa sehem maalum ya kuuzia kuliko kuzurula na kutumika kwa faida ndogo, mwisho nawarisha shamba vijana wenzangu
 
Wakikupa jb zuri nipe taarifa na mm sabab nataka nijiendeleze kwa mtaji huo
 
Wakuu na laki mbili mkononi je nifnye biashara gani hii pesa sitaki kuiharibu...nipeni mawazo timilifu kwa hiki.kidogo nilicho nacho

Nazipokea changamoto kwenye huu uzi wangu

Ushauri plz
 
Back
Top Bottom