Inaendelea. ..
Sorry kidogo majukumu yanaingilia jama,so kadri dakika chache nazo pata naandika kitu...ok! Hivyo ukiwa kama mfanyabiashara lazima uchekeche katika cost,hasa namna ya kuwekeza fedha ndogo katika hatua za mwanzo wa biashara,uku ikirudisha pesa nyingi. ..
Usafiri pendwa ni maji ndugu zangu,hapa mfano nazungumzia namna unavyoweza safirisha mzigo wako toka io miji adi bongo kupitia usafiri wa maji,ambao kimsingi ni siku 30-34 mpaka unakufikia,siku zooote ukitumia huu mzigo biashara lazima ikulipe...
...umeshafanya manunuzi na mmekubaliana na supplier wako akafanye delivery,so utampa anwani ya forwarder wako aliepo apo nchini kwao na atafikisha kisha forwarder wako akiupokea mzigo wako on spot atampa risit kisha io risit ndio mzigo wako,supplier wako atakutumia kwa whatsapp au wechat io risit then unasubilia tu.
Hapa case study naomba niwatumie hawa jamaa 'silent ocean ltd' ofcoz jamaa wa majini bongo wapo wengi lakini so far hawa ni rafiki zaidi wa mtu anae anza biashara,kwanini? Gharama zao ni ndogo,how? Mzigo uwe na uzito wowote ule wenyewe sio issue,uweke kitu chochote ndani ya ilo furushi wao sio issue,kikubwa wanajikita zaidi katika dimensions za mzigo kama nilivyopata eleza zaidi juu ya usafiri wa maji,so utapimiwa gharama kadri ya ukubwa wa fulushi lako,lakini ki standard mzigo wa dimensions 1cbm yani fulushi lenye vipimo hivyo ni 400USD,kumbuka hii ni gharama ya jumla yani kuusafirisha ilo fulushi toka dubai au toka china,kuulipia gharama zooote bandarini na kwa wakala yeyote aliepo apo i.e TRA then wewe unaukuta mzigo tayari godown...so wewe ni kwenda na bajaj yako na kuukomboa tu,na kuanza mauzo basi...kumbuka apa katika fulushi lako hata kama utaweka ndani vitu vya thamani ya bilioni,jamaa utawalipa pesa ioio na si zaidi,so practically waeza tafuta tape home jaribu kuchora vipimi vya boxi la ukubwa uo uone lilivyokubwa...na kama boxi ni dogo manake watapima tu upana wake utapimiwa kutokana na upana sio kilichopo ndani...jioni njema jamani,kama wewe unaona pesa laki 3 ni ndogo kwangu ndio kuuubwa,siri yake naijua mimi,na kama wewe unaona laki 3 ni nyiiingi sana,tafuta biashara nyingine kuza mtaji kwanza.tajibu maswali machache lakini yaliyo yamsingi
NB:kama utaweza jichanga zaidi ya kiasi icho nayo sio mbaya,unakuwa umejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kukuza mtaji haraka zaidi,pia waeza tafuta namna yakujichanga ata mkiwa watatu na mkaagiza kitu kwa pamoja then ukifika mnagawana kisha kila mtu anauza kimpango wake,kumbuka android phone unayo amini nakwambia io ni zaidi ya duka lililopo maeneo meengi sana apa dar,kwa kifupi kama mimi binafsi ningechajiwa kodi,kwa mwezi si chini ya 2m...it pays,hachana na habari za flemu kwanza.