Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Hili ni wazo zuri sana, Tukiwa wengi tukapeana mawazo inakuwa vizuri na pia whatsap inatoa fursa ya kupata response ya haraka
 

Hili ni wazo zuri sana, Tukiwa wengi tukapeana mawazo inakuwa vizuri na pia whatsap inatoa fursa ya kupata response ya haraka

Hahahaha kwa fast learners ni raisi sana kudevelop idea into next move...wazo zuri! Sorry nilikuwa busy kidogo ndio mana nimechelewa kujibu, well nini kinatakiwa? Si action...kikubwa wana group wawe watu sahihi! Basi mmoja wetu awe admin kisha tumtumie namba zetu. ..XFACTOR simamia show,your appointed admin
 

Haina shida, nitumieni namba zenu kwa PM
 


Nianze na nyie wawili wengine watafuata, nitumieni namba PM.
 
Sikudhani kama mtafikia hatua hii ya kuwa na wazo nililokua nikikifikilia big up to u mates. Xfactor nimekutumia namba zangu tayari.
 
Mkuu mwasaleba nahtaj namba yako unifundishe zaid hii ecomerce namba yang ni 0656694015 /ismailifaraj5@gmail.com
 
Hongera sana @Ndg.MWASALEMBA kwa thread nzuri na asante sana kwa maelezo yote, xfactor hope umeona pm yangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…