kulyunga
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 230
- 423
Hahahah pole aiseee, kila la kheri
Kaka mie nilikuwa naona kama kuna uwezekano tukutumie namba zetu via pm afu tufanye kuanzisha kitu kama group hivi la watsap ambapo tutakuwa tunashare ujuzi na ozoefu na kutatua vijitatizo vya hapa na pale na tutakaojaribu basi tushare uzoefu kiurahisi zaidi.