Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Salamu kwa wote,Mimi ni binti Wa miaka 23, nipo chuo cbe nina mtaji Wa sh laki ,naitaj kufanya biashara ya kujiongezea kipato huku nikiwa nasoma,naomb ushaur n biashara gani nifanye.

Kwanza nakupongeza kwa kujitambua,Maana mabinti wa CBE hapo kujifanya wote wa masaki ndio zao.Angalizo:Sio wote.Na vidume vyenye gari za kuazima kuja kuuzia sura hapo ndio kama kwao,IFM nao the same

Nije kwenye hoja,
-Kwanza unaishi Dar maeneo gani?
-Umewahi kufanya biashara gani?hata kama ni ndogo ya mtaani
-Ndoto zako ni zipi hapo baadae
-Unatoka Chuo muda gani na kufika nyumbani muda gani?
-Unakaa nyumba ya Kupanga au ni nyumba yeny ya familia

Kwa mie naona hapo ndio mwanga utakuja juu ya nini cha kukushauri.
 
Asante mkuu,naishi dar maeneo ya mbezi kimara,cijawai Fanya biashara y aina yyte,nasomea uhasibu ndoto zangu nikua muhasibu n mfnya biashara hapo baadae hususan restaurant, na ishi nyumban kwa wazazi ,chuoni nasoma masomo y jioni kuanzia xaa 12 mpk 3 usiku.
 

anzisha mradi wa kuku wa kienyeji au wa kisasa au mradi wa mayai... Anza kidogo kidogo utafanikiwa hapo baadae kama huna tamaa na mafanikio ya muda mfupi
 
Wadau tupeni mrejesho basi vp kwa mlioanza matokeo yamekaaje?
 
Watu wameingia mitini msitu wa kongo,kunani jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
renyo ***AUTOCOM JAPAN TANZANIA LIMITED ***
Anzisha thread yako utujuze zaidi usiharibu thread ya mwingine.
 
Nimeombwa kuungwa kwenye hilo group ila bado sijaungwa jamani..nnakosa uhondo wa utajiri wakuu.
 
Nimeombwa kuungwa kwenye hilo group ila bado sijaungwa jamani..nnakosa uhondo wa utajiri wakuu.

Mkuu hata mie nimepigana sana kuongezwa kwenye group lakini mpaka dk hii bado cjafanikiwa.
 
kama una knowledge ya mambo ya kompyuta mapka ukaweza kupost jamii forum basi unaweza tengeneza pesa online..... nitafute tuanze kazi mapema call 0713774746
 
Mie ni mwanafunzi pia hapa chuo cha maji but nilvyokuwa mwaka wa kwanza nilijkusanyia kaboom changu nikachukua mashine ya kutengeZa bisi,na mzani ndo navifanyia kazi mpaka ss hv kuanzia saa kumi jioni mpaka saa moja na nusu jion,kila siku sikosi buku 10 inayobaki baada ya matumizi yote ya siku.
 
Habari kaka yangu, Asante sana sana fo zis yuziful sredi, Mungu akubariki mnoo.

Naomba kuuliza, bei zao wengi nimeona mfano $1.5-12/piece, hiyo maana yake nini?
Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…