mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
duh!!! huu ushauri wa kibabe
Fungua duka la spea za magari makubwa,hiyo inatosha na kubaki
Mkuu, kwa laki sita ataanza ni spare gani labda
Yaani sometimes huwa nafungua jf ili nicheke daaaa! Hahahaahahahahahahahaaaaa.. Thanks kwa kunichekesha kinoma!uza bange
Tafuta sehemu ambayo frem rahisi fanya biashara ya vinywaji maji,soda na juice za cartoon anza na carton chache tu au uza duka la vyakula vibichi kama sembe,mchele,maharagwe kwa rejareja anza na gunia moja moja la kila nafaka
Ndugu yangu kama uko serious unataka kufanya biashara mimi nakushauri fanya biashara ya mtandao. Kampuni gani inafaa nitakuelekeza. NJOO WHATSAP 0763797853
Fungua duka la spea za magari makubwa,hiyo inatosha na kubaki
Fungua duka la spea za magari makubwa,hiyo inatosha na kubaki
duh!!! huu ushauri wa kibabe