Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

angalia mazingira yanayokuzunguka yana changamoto gani..ukigundua tumia hiyo changamoto kama fursa mfano kuna wafugaj wa kuku wa kienyej eneo hilo..nunua mayai kwa wingii uje uuze town..nk
 
Tafuta sehemu ambayo frem rahisi fanya biashara ya vinywaji maji,soda na juice za cartoon anza na carton chache tu au uza duka la vyakula vibichi kama sembe,mchele,maharagwe kwa rejareja anza na gunia moja moja la kila nafaka
 
That's so good and amazing advice..

Sim yangu
 
Ndugu yangu kama uko serious unataka kufanya biashara mimi nakushauri fanya biashara ya mtandao. Kampuni gani inafaa nitakuelekeza. NJOO WHATSAP 0763797853
 
Acha utapeli na hizo biashara zenu za forever living!!!

MLETA MADA USITHUBUTU KUWASILIANA PRIVATE NA HUYU MTU!!!
 
Kama uko kwenye eneo unaloweza kupata hata robo heka ya shamba unaweza ukaanza na kilimo cha kisasa cha beans njegere utatoka mkuuu ndani ndani ya miezi mitatu tu utanipa matokeo ukiwa meno nje
 
Back
Top Bottom