Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?


Asante umefafanua vizuri sana
 
Mawazo ya wtu ni mengi sana but kama ukipenda ninao uwezo wa kukusaidia nitafute kwa namba 0672573123
 
Hili ni wazo zuri sana!
 

Respect MKUU.Bonge la wazo!!!
 

Mkuu unefafanua vyema sana,Respect!
 
Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni

Eric Shigongo alianza na mtaji wa tshs 5000/= kwa kuuza karanga pale Miti mirefu, Mwanza. mpaka kufika hapa alipo leo. Maisha ni safari, hujachelewa ndugu.

Kila la kheri!
 
Mimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls
 
Nenda Tandika sokoni asubuhi kuanzia j3-jumamosi kisha udake mashuka na mataulo wanauza bei poa sana kisha uza mtaani.
shuka wanaanzia 1000-5000 kutegemea na ubora na ukubwa .
pia unaweza kuchukua shuka za 1000 nyeupe ukashona foronya ukauza na shuka ukapandisha bei.
 
juvute vute kidogo,upate kama laki nne ivi hlf tunakukaribisha FOREVER!

wengi wamefanikiwa kwenye hii biashara hasa wale wenye real enthusiasm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…