Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

NI KWELIII
 
Ulifanikiwa mkuu?
 
Nenda mkoa wa singida kanunue kuku.
Mchanganuo wa biashara hii:
1.Kuku 1=7000
2.Kuku 30=210,000
3.Chakula+malazi [60,000] 4.Nauli30,000[wewe+kuku]kwenda dar
Ukifika dar-
1.kuku 1=15,000 au 13,000
2.mfano 13,000X30Kuku=390,000
3.390,000-20,000[chakula+vocha+nauli za daladala dar]
4.370,000-30,000 ya kurudi singida]
5.Itabaki 340,000
¥Mtaji wako ni 300,000 faida ni 40,000
¥Mungu akutangulie katika mpango huo,inamaana ukirudi mara 10SafariX40,000mtaji=400,000faida
 
nenda sehemu wanazotengeneza Masai sandals omba nafasi ya kujifunza utengenezaji wa hivyo viatu kisha anza kutengeneza vyako na uuze.... hauhitaji frame ya biashara kwa kuanzia hata chumbani unakaa na kutengeneza viatu kisha kauze!!
 
pia biashara ya utengenezaji wa mikanda ya ngozi inalipa tena huo mtaji wako unatosha kabisaa mkuu
 
pia biashara ya utengenezaji wa mikanda ya ngozi inalipa tena huo mtaji wako unatosha kabisaa mkuu
kama utakuwa interested na hizi biashara ntakuconnect kwa mafundi wakufundishe ujuzi .....kuna jamaa ana degree ya education yuko gomsi ana ofisi ya kutengeneza masai sandals na ameajiri vijana wa3 anawalipa mshahara na chakula kila siku anawanunulia mpk sasa jamaa hataki kuajiriwa.....alianza kwa mtaji mdg sana huenda hata wako ukawa mkubwa
 
Biashara ya nguo... Hasa ya kuuza vifuniko vya asali huo mtaji utatosha kabisa...
 
1.Nguo za watoto
Nenda mwenge nguo za watoto wa kike 1000-3000 max nzuri mpyaaaa tena nyengine unakuta hazijatolewa hata badge,njoo mtaani uza 5000-7000,unapata faida yako swafiii.Tena kama mtaani kuna watoto watoto wengi utauza sana,hata kwa ndugu pia.
2.Kupaka kucha
Wadada sikuhizi wanapenda sana kupaka rangi,kuna mkaka namjua yupo maeneo ya survey,he is making not less than 2ml kwenye kucha kwa mwezi tu.Mfano
-pedicure 15000
-kupaka rangi kawaida 3000
-kupaka rangi jelly 10000
-kubandika 10000
Yeye wateja wake wengi ni pedicure na jelly,kwahiyo kwa kichwa kimoja anatoka na 25000,kwa siku nlimuuliza akasema anapaka hata watu 10-15,hana frame anamlipa kwenye saloon 10000 kwa siku
Anabaki na bei gani?(piga hesabu),kwa mwezi?,na mind you hana likizo anasema na wateja wengine anawafwata makwao saa 12 asubuhi
Unataka nn tenaa,ujuzi tu
Hiyo 300k unanunua vifaa vyote
Ni maamuzi tu
3.Genge
Nenda soko la ndizi au buguruni nunua vitu kwa jumla njoo uuze gengeni utapata faida,kama huwezi kuuza ww mweke hata mtu auze as long as unajua una vitu vya bei gani na expected profit bei gani
4.Nguo za mtumba
Ka mdau avokushauri hapo juu nenda ilala,ila usibebe simu na hela zisunde ndani ya trouser,wasije kukupekua ukarudi kulia humu umeibiwa
5.Nguo za ndani
Chupi,tights,underskirts(sio zile za malinda chini,hizi nyepesi za chiffon),uswahilini kwetu utauza sana
Hakuna mdada asievaa chupi
Kama unakaa uzunguni sasaa nguo za mazoezi leggings na sportsbra utauza
Etc
Etc


All in all do what is the best for you.
 
Mkuu, Singida ipi hyo wanauza kuku kwa hiyo bei?
 
mkuu mpigie huyu jamaa nataka sana kufanya biashara na wewe 0653 738757
 


Nimeipenda hii unaweza nielewesha?
 
Unajua biashara nnayofanya?
 
Jmn mm nimevutiwa nipo Dar naezaje kuifanya hii ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…