Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

ndugu yangu doreen22 na london wamekupa mwanga thatha anza kadhi but
tafuta dhile amri dha ujathiriamali, mi ntakupa chache tu;
  • ubunifu(andaa mpango wa biashara yako)
  • kujituma
  • fanya kadhi mwenyewe(uthiajiri mtu kwandha)
  • tundha mahethabu vidhuri
  • uvumilivu
  • kubali hathara penye faida
  • ujathiri(uthiogope)
  • kubali changammoto(uthidharau)
  • pigania kuongedha mtaji inapobidi
  • heshimu wateja wako
  • fanya tathmini ya biashara yako kila wakati na ukibaini maendeleo chanya endelea nayo, kama ni hathi andha kufikiri upya juu ya mpango wako na uendeledhaji wake.

"usikubali kufeli mtihani nje ya chumba cha mtihani"

NI KWELIII
 
Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 3 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza na ipo siku i can mek it yes in my life...Wazoefu wa biashara naombeni mawazo yenu naamin wote humu ni magrt thnker's na sitegemei majibu ya dharau mana clazma kila ukionacho ukoment nawe ujulikane upo..kama huna pita njia na waache wenye busara na upeo watuelimshe..Ahsante
Ulifanikiwa mkuu?
 
Nenda mkoa wa singida kanunue kuku.
Mchanganuo wa biashara hii:
1.Kuku 1=7000
2.Kuku 30=210,000
3.Chakula+malazi [60,000] 4.Nauli30,000[wewe+kuku]kwenda dar
Ukifika dar-
1.kuku 1=15,000 au 13,000
2.mfano 13,000X30Kuku=390,000
3.390,000-20,000[chakula+vocha+nauli za daladala dar]
4.370,000-30,000 ya kurudi singida]
5.Itabaki 340,000
¥Mtaji wako ni 300,000 faida ni 40,000
¥Mungu akutangulie katika mpango huo,inamaana ukirudi mara 10SafariX40,000mtaji=400,000faida
 
nenda sehemu wanazotengeneza Masai sandals omba nafasi ya kujifunza utengenezaji wa hivyo viatu kisha anza kutengeneza vyako na uuze.... hauhitaji frame ya biashara kwa kuanzia hata chumbani unakaa na kutengeneza viatu kisha kauze!!
 
pia biashara ya utengenezaji wa mikanda ya ngozi inalipa tena huo mtaji wako unatosha kabisaa mkuu
 
pia biashara ya utengenezaji wa mikanda ya ngozi inalipa tena huo mtaji wako unatosha kabisaa mkuu
kama utakuwa interested na hizi biashara ntakuconnect kwa mafundi wakufundishe ujuzi .....kuna jamaa ana degree ya education yuko gomsi ana ofisi ya kutengeneza masai sandals na ameajiri vijana wa3 anawalipa mshahara na chakula kila siku anawanunulia mpk sasa jamaa hataki kuajiriwa.....alianza kwa mtaji mdg sana huenda hata wako ukawa mkubwa
 
Nataman kujiajiri mwenyewe..je mtaj wa 3 naweza kujiajir na biashara gani wana jf.?..naomben mawazo yenu kama mdogo wenu na ntayafanyia kaz mana naamin naweza na ipo siku i can mek it yes in my life...Wazoefu wa biashara naombeni mawazo yenu naamin wote humu ni magrt thnker's na sitegemei majibu ya dharau mana clazma kila ukionacho ukoment nawe ujulikane upo..kama huna pita njia na waache wenye busara na upeo watuelimshe..Ahsante
Biashara ya nguo... Hasa ya kuuza vifuniko vya asali huo mtaji utatosha kabisa...
 
1.Nguo za watoto
Nenda mwenge nguo za watoto wa kike 1000-3000 max nzuri mpyaaaa tena nyengine unakuta hazijatolewa hata badge,njoo mtaani uza 5000-7000,unapata faida yako swafiii.Tena kama mtaani kuna watoto watoto wengi utauza sana,hata kwa ndugu pia.
2.Kupaka kucha
Wadada sikuhizi wanapenda sana kupaka rangi,kuna mkaka namjua yupo maeneo ya survey,he is making not less than 2ml kwenye kucha kwa mwezi tu.Mfano
-pedicure 15000
-kupaka rangi kawaida 3000
-kupaka rangi jelly 10000
-kubandika 10000
Yeye wateja wake wengi ni pedicure na jelly,kwahiyo kwa kichwa kimoja anatoka na 25000,kwa siku nlimuuliza akasema anapaka hata watu 10-15,hana frame anamlipa kwenye saloon 10000 kwa siku
Anabaki na bei gani?(piga hesabu),kwa mwezi?,na mind you hana likizo anasema na wateja wengine anawafwata makwao saa 12 asubuhi
Unataka nn tenaa,ujuzi tu
Hiyo 300k unanunua vifaa vyote
Ni maamuzi tu
3.Genge
Nenda soko la ndizi au buguruni nunua vitu kwa jumla njoo uuze gengeni utapata faida,kama huwezi kuuza ww mweke hata mtu auze as long as unajua una vitu vya bei gani na expected profit bei gani
4.Nguo za mtumba
Ka mdau avokushauri hapo juu nenda ilala,ila usibebe simu na hela zisunde ndani ya trouser,wasije kukupekua ukarudi kulia humu umeibiwa
5.Nguo za ndani
Chupi,tights,underskirts(sio zile za malinda chini,hizi nyepesi za chiffon),uswahilini kwetu utauza sana
Hakuna mdada asievaa chupi
Kama unakaa uzunguni sasaa nguo za mazoezi leggings na sportsbra utauza
Etc
Etc

All in all do what is the best for you.
 
Nenda mkoa wa singida kanunue kuku.
Mchanganuo wa biashara hii:
1.Kuku 1=7000
2.Kuku 30=210,000
3.Chakula+malazi [60,000] 4.Nauli30,000[wewe+kuku]kwenda dar
Ukifika dar-
1.kuku 1=15,000 au 13,000
2.mfano 13,000X30Kuku=390,000
3.390,000-20,000[chakula+vocha+nauli za daladala dar]
4.370,000-30,000 ya kurudi singida]
5.Itabaki 340,000
¥Mtaji wako ni 300,000 faida ni 40,000
¥Mungu akutangulie katika mpango huo,inamaana ukirudi mara 10SafariX40,000mtaji=400,000faida
Mkuu, Singida ipi hyo wanauza kuku kwa hiyo bei?
 
Kuwa Reseler wa Website Hosting
Unatafuta mtu anakufungulia Website kwa ajili ya Hosting Services

Unanunua Kifurushi cha Hosting Mfano kwa ipage Ukitaka kuwa reseler unalipia 90,000 Kwa mwaka kazi yako ni kuuzia watu hata ukiuza 6000 kwa mwezi itakulipa mana ni unlimited ambayo kwa mwaka mteja atakulipa 72,000

Hapo ukiwa na wateja 50 kwa mwaka ni 3,600,0000 ni sawa na unapokea mshahara kwa mwezi 300,000

Unaweza kupata wateja hata 100= 7,200,000 Kwa mwaka na ukumbuke kuwa hao ni wa mda wote hivyo unakuwa na uhakika wa kuvuta mkwanja kila mwaka

90,000 Kununulia Hosting
200,000 Unatumia kwa website
100,000 Matangazo fb unabakiwa na balance

Kwa maelezo zaidi Ni Pm mana huku huwa nachungulia.
mkuu mpigie huyu jamaa nataka sana kufanya biashara na wewe 0653 738757
 
Kuwa Reseler wa Website Hosting
Unatafuta mtu anakufungulia Website kwa ajili ya Hosting Services

Unanunua Kifurushi cha Hosting Mfano kwa ipage Ukitaka kuwa reseler unalipia 90,000 Kwa mwaka kazi yako ni kuuzia watu hata ukiuza 6000 kwa mwezi itakulipa mana ni unlimited ambayo kwa mwaka mteja atakulipa 72,000

Hapo ukiwa na wateja 50 kwa mwaka ni 3,600,0000 ni sawa na unapokea mshahara kwa mwezi 300,000

Unaweza kupata wateja hata 100= 7,200,000 Kwa mwaka na ukumbuke kuwa hao ni wa mda wote hivyo unakuwa na uhakika wa kuvuta mkwanja kila mwaka

90,000 Kununulia Hosting
200,000 Unatumia kwa website
100,000 Matangazo fb unabakiwa na balance

Kwa maelezo zaidi Ni Pm mana huku huwa nachungulia.

Nimeipenda hii unaweza nielewesha?
 
Mbona wewe njemba una dalili zote za kula kona na pesa ya mwenzako, unatoa riba kubwa hivyo 700000 kwa miezi mitatu tu hapa kuna kauongo, yani unazizidi taasisi za fedha kama BANKERS, UTT, EXIM.... jitahidi ukidanganya usidanganye sana...kwa mfano bank kwa hiyo miezi mitatu wamejitahidi sana wamekupa riba ni 80elfu...
Unajua biashara nnayofanya?
 
Yanapatikana serengeti wakuu,kuna geleza linaitwa tabora B. Pale unapata utakavyo kwani wanang'ombe nyingi sana, pia ukitaka ulaiani napo yapo ya kutosha, nimefanya hii kitu hadi nikanunua toyo. bahati nzuri na ajira nikapata nikaajiriwa sehem tofauti. ila niliipenda sana
Jmn mm nimevutiwa nipo Dar naezaje kuifanya hii ishu
 
Back
Top Bottom