Sawa mkuuNenda mahali upige bia mbili tatu utoe stress kwanza,then ufikirie unataka kufanya biashara fan
Ok, basi tembeza mitumba...Sawa mkuu
Ila nahotaji Biashara ambayo situmii nguvu
Yaani ninunue vitu halafu niuze tu bila processing
Au nunua kapu weka vipodozi, rangi za kucha tembeza uwapake wadada rangi.Sawa mkuu
Ila nahotaji Biashara ambayo situmii nguvu
Yaani ninunue vitu halafu niuze tu bila processing
NitafikiriaOk, basi tembeza mitumba...
Anza na viatu vya mitumba nenda pale Ilala nunua viatu vya mitumba classic. Vitayarishe vizuri tembeza maofisini kwa wafanyakazi, inalipa sana ila usione aibu na usichoke dhihaka na kutembeaMburahati
Tatizo kitaa genge kila mru analoMkuu fungua genge zuri la kisasa uweke na samaki pia utatoka . Kwa dar-es -salaam genge linalipa sana kuliko hata duka la rejareja la mitaani.
Aisee ni wazo zuri...nilienda pale Karume kufanya utafiti nikagundua vitu vya mitumba ya kike mfano viatu vinauzika nasikia laki 3 hadi 5 inatosha kununua balo na siku hizi mgambo hawasumbuiAnza na viatu vya mitumba nenda pale Ilala nunua viatu vya mitumba classic. Vitayarishe vizuri tembeza maofisini kwa wafanyakazi, inalipa sana ila usione aibu na usichoke dhihaka na kutembea
mixer na tu mbogamboga /kigengeAhsante kwa wazo zuri kamanda
Sijawahi kufanya Biashara..nimemaliza chuo nimechoka kutembeza bahasha ndo nataka kujiajiriUliwahi fanya biashara hapo awali au ndio mara yako ya kwanza ?
Maan kila biashara ina changa moto zake .
Kitu cha kwanza angalia maeneo unayo kaa yapoje kibiashara.
Ahsante kwa ushauri
Mkuu hongera kwa kutoa michango mzuri bila Shaka unaelewa biashara za masokoni vizuri.
Mimi najihusisha na utayarishaji wa dagaa safi wa kukaanga toka kanda ya ziwa natafuta wauzaji wa jumla watakaochukua wengi kwa wakati mmoja kama debe 10 kuendelea.
Sababu ya bei yangu kuwa ya chini zaidi nauza debe elfu 35,000 kawaida huuzwa elfu 50 na kuendelea hivyo kama unajua mtu au unataka anayejihusisha na kuuza dagaa hawa naomba uniunganishe nae Tafadhali.
Natanguliza shukrani za dhati.
Mkuu ukifungua hiyo biashara leta mrejesho ntakuja kukuungisha me pia mkazi wa maeneo hayoSijawahi kufanya Biashara..nimemaliza chuo nimechoka kutembeza bahasha ndo nataka kujiajiri