Kiwembe 0
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 536
- 602
Naanza na kabiashara kaka1.) Kupanga fremu ni 1.5m mpaka 5m kwa mwezi (kariakoo), min.ni 18m kwa kodi ya mwaka.
2.) Ili ipate Tin no. inabidi ukalipe 18% thamani ya mkataba TRA bila kusahau stamp duty.
3.)Leseni manispaa itaenda laki 5 per year.
4.) Mashine ya EFD andaa laki 8, TRA wamekaza sana
5.) Andaa na income tax ya around 5mil. Kwa mwaka wako wa kibisshara, ila itategemea tra watakukadiria vipi, wakiamka vibaya wanakuzibua za udo.
Kwa hiyo we jianda kwa hiyo slave enrollment za watu-mwa 70,000
Siyo Biashara kubwa
Sihitaji hata fremu