Ni hapo Morogoro Mizani ndugu nauli kwenda sio zaidi ya 10000 ukitokea Dar pamoja na mzigo wa tenga lako kwenye lori hutalipa zaidi ya 150000 am sure ukirudi na kuku wako hapa say umewachukua kwa 15,15, naamini unapiga faida...wazo la mbali japo sina uzoefu nalo nimewaza tu...naamini mwanzo mdogo huwa na mwisho mkubwaMikese ndo wapi huko mkuu? Na mm naona hiyo inanifaa
Hao kuku wana mdondo balaa, Usithubutu kununua kuku pale mikeseNenda mikese kachukue kuku wa kienyeji njoo uuze hapa shekilango ova
Kuku mwenye mdondo hawezi ku-survive kwa saa 24 asife by the way kuna chanjo na inapatikana kwa bei chee sana.Hao kuku wana mdondo balaa, Usithubutu kununua kuku pale mikese
Hao kuku wana mdondo, watakuja kukufia wote. Niliwahi nunua pale nikalia kimya kimyaMikese ndo wapi huko mkuu? Na mm naona hiyo inanifaa
We unauza shingapi?Kama waweza distribute tufanye biashara.. Ni wale dagaa safi,hawana nchanga,ambao wameshapikwa na viungo na chumvi,waweza kunywea chai,kwenye supermarket wanauza mpaka buku mbili jelo.
huanikwa kwenye vichanja tumewaweka katika vifungashio.
Chochote utakachoFanya weka bidii na maarifaMim nimefikiria vitu vitatu 1. Kuuza Rambo 2. Kuuza viatu vya kike. 3. Kuuza nyama choma vyuon wakat wa usiku. Sasa xijui kip bora na kitafaa zaid Kwa kuanzia
Uza vyoteeneo ni la chuo?
Habari za Siku Wana jf. Nahitaji msaada wa mawazo kama nlivyosema hapo juu kwenye kichwa Cha habari. Location ni Dodoma mjini. Baada ya kusema hayo naomba kuwasilisha hoja.
wapo wengi pia wanatatizo kama langu ila Mimi nimuwakilishi wao tu Zimwage hapa hizo nondo kma kweli zipo.njoo inbox,nikupe nondo za ukweli
Miseke ni njia ya kwendea wap mkuuNenda mikese kachukue kuku wa kienyeji njoo uuze hapa shekilango ova
Ukipata jibu nishtue na Mimi.Laki 5 unaweza ukafanya biashara gani ili ikue fasta
kwa kiasi hicho cha pesa unaweza kwenda vijiji kama iringa au mbeya ukalangue mbegu za mabogaLaki 5 unaweza ukafanya biashara gani ili ikue fasta
Unaweza nitumia your contacts please tufanye biasharakwa kiasi hicho cha pesa unaweza kwenda vijiji kama iringa au mbeya ukalangue mbegu za maboga
arafu uje kuniuzia mimi nipo dar,huwa nanunua debe sh12000
0689095488Unaweza nitumia your contacts please tufanye biashara
Naomba mchango wa kima wazo, nina laki 5 nifanye issue gan?
Npo .....Dodoma (UDOM)
Age ..... 27
Plz tia neno
Naomba contact zako ninazo mbegu za mabogakwa kiasi hicho cha pesa unaweza kwenda vijiji kama iringa au mbeya ukalangue mbegu za maboga
arafu uje kuniuzia mimi nipo dar,huwa nanunua debe sh12000