N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Ni hapo Morogoro Mizani ndugu nauli kwenda sio zaidi ya 10000 ukitokea Dar pamoja na mzigo wa tenga lako kwenye lori hutalipa zaidi ya 150000 am sure ukirudi na kuku wako hapa say umewachukua kwa 15,15, naamini unapiga faida...wazo la mbali japo sina uzoefu nalo nimewaza tu...naamini mwanzo mdogo huwa na mwisho mkubwaMikese ndo wapi huko mkuu? Na mm naona hiyo inanifaa