Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mikese ndo wapi huko mkuu? Na mm naona hiyo inanifaa
Ni hapo Morogoro Mizani ndugu nauli kwenda sio zaidi ya 10000 ukitokea Dar pamoja na mzigo wa tenga lako kwenye lori hutalipa zaidi ya 150000 am sure ukirudi na kuku wako hapa say umewachukua kwa 15,15, naamini unapiga faida...wazo la mbali japo sina uzoefu nalo nimewaza tu...naamini mwanzo mdogo huwa na mwisho mkubwa
 
Naomba kujua kwa mtaji wa laki tano unaweza kufanya biashara gani?

714de13e9372a3a1e1d886145d928514.jpg
 
Kama waweza distribute tufanye biashara.. Ni wale dagaa safi,hawana nchanga,ambao wameshapikwa na viungo na chumvi,waweza kunywea chai,kwenye supermarket wanauza mpaka buku mbili jelo.
huanikwa kwenye vichanja tumewaweka katika vifungashio.
We unauza shingapi?
 
Naomba mchango wa kima wazo, nina laki 5 nifanye issue gan?
Npo .....Dodoma (UDOM)
Age ..... 27
Plz tia neno


Anza biashara ya kuuza ubuyu/ukwaju uko mwingi huko Dom. na huhitaji mtaji mkubwa!!
 
Back
Top Bottom