Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Unanunua mahindi kutoka vijijini mamire Na endakiso then unayauza babati mjini kwa wanaosafirisha!
 
Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Kuna biashara ya mifuko ya nylon (Maliboro) kama unaweza kupata sehemu iliyoko karibu na soko hapo mzunguko unakuwa imara zaidi.
 
Kuna biashara ya mifuko ya nylon (Maliboro) kama unaweza kupata sehemu iliyoko karibu na soko hapo mzunguko unakuwa imara zaidi.
Hiyo ishu ya mifuko inakuwaje hasa kuanzia soko lake na ununuz . tupe taarifa zaid
 
Hiyo ishu ya mifuko inakuwaje hasa kuanzia soko lake na ununuz . tupe taarifa zaid
Soko la hiyo mifuko mni sokoni, au sehemu ambayo mzunguko wa ununuaji wa vitu vya kubeba ni mkubwa. Hii nazungumzia ya Malboro. Upatinaji wake unategemea na eneo ulilopo mkuu.
 
Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Fanya biashara ya kuuza genge au matunda inalipa sana, mfano kuna mama alikua ananiambia ukichukua ndizi mbivu za elfu 30 unapata faida elfu 15 hadi 18 sasa ukiweka na parachichi na tikitiki utakua mbali mno halafi mtaji s mkubwa sana
 
Uza matunda\anza biashara ya umachinga toka nchi moja kwenda nyingine
 
Mimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls
Mult level Ndo Nin Hyo
 
Unaenda Kenya unaleta vitenge au vyakula unauza Tanzania kisha unarudi things goes on
 
Unaenda Kenya unaleta vitenge au vyakula unauza Tanzania kisha unarudi things goes on
mtaji wenyewe laki tano hapo hajaweka nauli ya basi au ndege kwenda nchi ingine hajaweka chakula na malazi akifika huko kwa hiyo hela haitamsaidia hapo labda afungue duka la tigopesa au chochote
 
Back
Top Bottom