mkuu na mimi niko interested mwongozo tafadhaliUnanunua mahindi kutoka vijijini mamire Na endakiso then unayauza babati mjini kwa wanaosafirisha!
Kuna biashara ya mifuko ya nylon (Maliboro) kama unaweza kupata sehemu iliyoko karibu na soko hapo mzunguko unakuwa imara zaidi.Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Hiyo ishu ya mifuko inakuwaje hasa kuanzia soko lake na ununuz . tupe taarifa zaidKuna biashara ya mifuko ya nylon (Maliboro) kama unaweza kupata sehemu iliyoko karibu na soko hapo mzunguko unakuwa imara zaidi.
Soko la hiyo mifuko mni sokoni, au sehemu ambayo mzunguko wa ununuaji wa vitu vya kubeba ni mkubwa. Hii nazungumzia ya Malboro. Upatinaji wake unategemea na eneo ulilopo mkuu.Hiyo ishu ya mifuko inakuwaje hasa kuanzia soko lake na ununuz . tupe taarifa zaid
tupe feedback na ss tutumie ushauri huoasante mkuu kwa mchango
Nawatafuta sana hawa!! Nipe connection mkuuUza dagaa kutoka mwanza
Fanya biashara ya kuuza genge au matunda inalipa sana, mfano kuna mama alikua ananiambia ukichukua ndizi mbivu za elfu 30 unapata faida elfu 15 hadi 18 sasa ukiweka na parachichi na tikitiki utakua mbali mno halafi mtaji s mkubwa sanaHabari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Inakuaje Hyo mkuuUza matunda\anza biashara ya umachinga toka nchi moja kwenda nyingine
Mkuu nimeipenda Hyo fursaUnanunua mahindi kutoka vijijini mamire Na endakiso then unayauza babati mjini kwa wanaosafirisha!
Dagaa WA kutoka mwanza nawahitaji Sana inakuwajeNawatafuta sana hawa!! Nipe connection mkuu
Mult level Ndo Nin HyoMimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls
mtaji wenyewe laki tano hapo hajaweka nauli ya basi au ndege kwenda nchi ingine hajaweka chakula na malazi akifika huko kwa hiyo hela haitamsaidia hapo labda afungue duka la tigopesa au chochoteUnaenda Kenya unaleta vitenge au vyakula unauza Tanzania kisha unarudi things goes on