Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukiwa na biashara kama hyo. You must be a genious.
Biashara nyingi za reja reja faida yake sio mbaya, muuza karanga anapata mpaka 100%, wauza uji wakata matunda wanaweza wakapata hata gross ya double the amount waliyoweka..., Ila hapa issue ni kwamba ingawa investment ya pesa sio nyingi ila investment ya nguvu na muda ni kubwa
Kuna mdau namjua huwa anazunguka kwenye ufunguzi wa marobota ya mitumba kwa siku anachagua nguo kama kumi kali kali anaziweka vizuri anawatembezea wadau wake, faida inaweza ikawa mpaka mara tatu...
Kwahio nadhani ni bora mtu hata uka-investment milioni 20 kama biashara unayofanya haichukui muda wako kuliko investment ya elfu 20 kama biashara inataka 100% ya muda wako.., Ingawa kwa nchi zetu za kimasikini kuajiri wafanyakazi ni pesa ndogo sana.., (unaweza ukamuajiri mtu akufanyie biashara hizi za mitaji midogo ukamlipa na bado faida ikabaki) Ila tatizo sababu mtaji ni mdogo anytime anaweza akakugeuka akafanya kile ulichomtuma afanye kwa faida yake mwenyewe na wateja walewale wako atakuibia..
Cha muhimu hapa ni kama mdau alivyosema ni kwa vikundi kuungana na kufanya biashara kwa pamoja iwe ukulima, ufugaji au uchuuzi, hapo wataweza hata kupata tender kubwa kubwa au hata kuongeza value ya bidhaa zao
je? kwa sisi wanafunz wenye mitaj midogo mfano 200000 ni biashara gan twaweza kufanya ambazo hazitaitaj mda mwing katika usimamiz ili niweze kupata mda mwingi wa kusoma shule yaani izo biashara zenye return nzuri[/QUO
wataalam mtusaidie kwa sisi wanafunzi nn tufanye kwa mitaji midogo pind tunapokuwa chuon.
je? kwa sisi wanafunz wenye mitaj midogo mfano 200000 ni biashara gan twaweza kufanya ambazo hazitaitaj mda mwing katika usimamiz ili niweze kupata mda mwingi wa kusoma shule yaani izo biashara zenye return nzuri
je? kwa sisi wanafunz wenye mitaj midogo mfano 200000 ni biashara gan twaweza kufanya ambazo hazitaitaj mda mwing katika usimamiz ili niweze kupata mda mwingi wa kusoma shule yaani izo biashara zenye return nzuri[/QUO
wataalam mtusaidie kwa sisi wanafunzi nn tufanye kwa mitaji midogo pind tunapokuwa chuon.
Mkuu cha kufanya angalia watu waliokuzunguka wana mahitaji gani unayoweza ukaya-solve..
Problems are Opportunities in Disguise.., kwahio kama kuna mahitaji ya vouchers, labda study materials, laptops, costmetics, secretarial services, problem solvings... au mahitaji yoyote unayoweza wewe ukayapata sehemu fulani kwa bei rahisi unaweza ukafanya biashara..,
Kama vipi unaweza kwenda a step forward hata ukawa na watu wako wanafanya usafi wa nguo hadi kutoa huduma ya kupika chakula cheaply (lakini kwa bei watakazotaka wanafunzi sijui kama uta-break even); be creative na uwe na USP (Unique Service Proposition) kwanini watu wanunue kwako na sio kwa kina mama au wafanyabiashara waliokuzunguka chuo ?
Habar wana Jf nina laki tano mfukon nataka nifanye biashara je naweza fanya biashara gani?
uko maeneo gan
Npo gongo la mboto
Njoo chukua viatu jumla nauza 16 Ww wauza 20 Mali toka nairobiView attachment 196918