Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Toa elimu kidogo ya hilo zao na soko lake hapa Tanzania ikiwa ni pamoja na matumizi yake.
Mikoa ya Dar,Moro, Mwanza,Mbeya,Arusha na Moshi kote huko lishaanza kusambaa kwa kasi sana.Unasaga kwa blender au mashine yeyote halimradi huwe unga pata vijiko 2 vya chakula kutwa kwa kuchanganya na juice,chai,mchuzi au chakula plus matunda utapata matokeo ndani ya masaa 48.
 
Nunua balo la mitumba grade AA mwaga nje ya eneo unapoishi.....wanunuzi watazifuata wenyewe,within a week utakua umepata faida mara mbili ya mtaji.

NB: Nguo za kike(skirts na top) au watoto miaka 1_12 zinalipa zaidi.

Kwa hiyo pesa anapata?
 
Fanya biashara ya zao la Chia seeds,hapo ulipo popote nchini, mi nitakuuzia kilo 40 za chia seeds alafu wewe utauza kilo moja kwa bei ya chini tsh 20,000.sawa na faida ya 400,000.kwa mzigo wote maana utapata tsh 800,000=.
mkuu, hii chia seeds naweza ipata wapi kwa kiasi kikubwa for export purposes pls
 
Fanya Umachinga wa phone accessories nyumba hadi nyumba ukiwa na vitu vya muhimu vifuatavyo:-

1. Glass: W3,K7,K9,S1,Spark2,Y3+,F2,it6910
-Hapa haichomoki simu, hizo glass zinaingiliana na smartphone nying sana za Techno&itel&infinix.
Hizo ndo brand za simu za watanzania walio wengi mtaani.

2.Back Cover za simu ndogo; Techno,nokia&itel
- hapa zungukia kwa jamaa wenye vibanda vya m-pesa wengi hutumia visimu vidogo kwa mda mrefu.
Pia mama ntilie wengi,na mafundi ujenzi kwenye site zao.
Obvious lazma watahitaj back cover.

3.Betri Og na kawaida za BL-5c
Hii inaitwaga betri Malaya, karibu 90% ya simu ndogo hapa Tz zinatumia hii betri.

4.Foni ndogo za kawaida
Hizi peleka maeneo yenye vijana wengi kama shulen,vyuoni au kwenye magulio mbalimbali.
Pia hata majumbani,wananunua sana mahouse girl.

5. Memory za kawaida size 128mb,1gb,2gb
Hizi 128mb ziwe nyingi,zikigmfuatiwa na 1gb kisha 2gb.
Wamama,mahouse girl na mabaa medi wa zile baa za uchochoroni wanapenda sana kununua.

Ni hayo tu.

Wish u all the best
 
Ok
 
Nina Tsh 400,000/= (laki nne) nahitaji ushauri nifanye biashara gani ambayo inaendana na pesa hii ili nipate faida nzuri. Sio lazima iwe biashara, inaweza ikawa kitu kingine chochote kile cha kunipatia pesa (faida).
Nipo Ubungo Msewe, Dar Es Salaam
Biashara kwa awamu hii ni pasua kichwa na inahitajika uvumilivu na mda wa kutosha ndipo uanze kuiona faida, so usikurupuke tu kisa unatafuta hyo faida nzr.
 
Back
Top Bottom