Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Wataalam wa biashara naomben ushaur wa biashara nnyoweza kuifanya kwa mtaj wa lak 1.
Nunua vifaa vya uzuri wa kucha, miguu, na vsigino ambapo sio tu utapata hela za wadada na wamama lakini pia utafaidi kuwashika miguu na kichungulia uvunguni bila malipo
 
Ndugu zanguni Mimi nipo songea nna kiasi Cha tsh 500000 natamani nifanye biashara

Naomba ushauri biashara gani ntafanya kwa mtaji huo?

Natumai mtanisaidia ushauli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwa songea hiyo hela biashara nzuri nakushauri uifanye ni yadagaa na samaki kutoka ziwa nyasa umpate mtu unayemwamini akuuzie sokoni pale kwa jumla na reja reja me imeniboost sana hiyo kitu nilianza na laki mbili kwa siku faidi elfu 30 kawaida lakini unapoenda kufunga mzigo beba vitu kauzue kule kwa wanakijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari! Naomba kuuliza
Ni nani kati yenu amewahi kusikia fursa ya ufugaji wa Wadudu Mende kama chakula cha mifugo yani kuku
Mwenye uelewa wa hili swala naomba aeleze kwa mapana zaidi, kwa kuanzia
1 mtaji
2 mbegu
3 uzalishaji
4 uvunaji
5 changamoto
6 soko lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu,

Mimi nii binti wa miaka 25. Naomba kuleta wazo hili nililonalo kichwani kwa muda usopungua miezi sita. Sasa nikaona nililete mjaribu kunipa mbinu ya kuchanganua haya niliyonayo.

Nina mtaji usiofika Milioni moja na nina wish niwe na biashara yangu ambayo itanisaidia kuniingizia kipato kwa namna moja ama nyingine.

Biashara ambayo itatosha na kukidhi mahitaji kulingana na mtaji wangu. Kichwani mwangu niliwaza biashara ya chakula lakini sijui inakuaje kuanzia mwanzo wa biashara hadi mwisho,i nahitaji nini? Mahali na technique za biashara hii iko pia,

Hivyo nimelileta ili mnisaidie mchango wa mawazo, pia hata kama kuna biashara tofauti na hii ambayo mnahisi naweza kuimudu kulingana na kamtaji kangu pia niko tayari

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia sehemu yenye mkusanyiko wa watu, mahitaji ni mengi ila Anza na ulichonacho
 
Habarini wakuu,

Mimi nii binti wa miaka 25. Naomba kuleta wazo hili nililonalo kichwani kwa muda usopungua miezi sita. Sasa nikaona nililete mjaribu kunipa mbinu ya kuchanganua haya niliyonayo.

Nina mtaji usiofika Milioni moja na nina wish niwe na biashara yangu ambayo itanisaidia kuniingizia kipato kwa namna moja ama nyingine.

Biashara ambayo itatosha na kukidhi mahitaji kulingana na mtaji wangu. Kichwani mwangu niliwaza biashara ya chakula lakini sijui inakuaje kuanzia mwanzo wa biashara hadi mwisho,i nahitaji nini? Mahali na technique za biashara hii iko pia,

Hivyo nimelileta ili mnisaidie mchango wa mawazo, pia hata kama kuna biashara tofauti na hii ambayo mnahisi naweza kuimudu kulingana na kamtaji kangu pia niko tayari

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya vitafunwa maofcn inalipa. Maofc mengi cku hz yanatoa chai bure lkn vitafunwa unajitegemea. Unaweza kuchagua ofc kadhaa unazodhani waweza fanya biashara nao ukawaeleza wazo lako na ukaanza kuwapelekea. Maandazi au chapati znapendwa sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa songea hiyo hela biashara nzuri nakushauri uifanye ni yadagaa na samaki kutoka ziwa nyasa umpate mtu unayemwamini akuuzie sokoni pale kwa jumla na reja reja me imeniboost sana hiyo kitu nilianza na laki mbili kwa siku faidi elfu 30 kawaida lakini unapoenda kufunga mzigo beba vitu kauzue kule kwa wanakijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekaa songea miaka 5 pale mjini kutokana na shughuli za kikazi imenibidi nihame.... Biashara inayolipa sana ni nguo,

Nitaeleza sababu songea nahisi na uzoefu wa kutembea tembea Ile ndio wilaya pekee inayoongoza kwa kuwa na vibanda vingi vya washona nguo( mafundi nguo/washonaji)

Kuna biashara inaitwa mnada ambayo mtu anachukua nguo na kuzipeleka kijijini huko na kuuza, hasa katika vipindi vya shule au karibia na sikukuu ndio maana nimeona maduka mengi sana ya nguo, nimewahi uza pia hasa maeneo ya pale soko kuu, Hardware pia iko poua sanaa maana ujenzi ndio umepamba moto, maduka ya vyakula bei ya reja reja, utapiga sanaa

Tatizo lililopo kule ni moja tu, tabia ya kuigana igana, mfano ukianza kuuza au kusupply uyoga au dagaa jua kuna watu watakufuata tu

Hakuna biashara utayoifanya peke yako dunia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom