Mimi nimewahi kusikia fursa ya hao mende nikipewa namba ya simu nikawasiliana nao, kifupi ni kwamba ukitaka unapewa mafunzo jinsi ya kuwafuga ila kuna malipo kwa hayo mafinzo, na kama hutaki ni mafunzo pia sio shida wewe fuga mende wao wananunua kilo 5000, kama unataka mawasiliano yao nina namba yao ya simu wanapatikana Dar pale external ubungoHabari! Naomba kuuliza
Ni nani kati yenu amewahi kusikia fursa ya ufugaji wa Wadudu Mende kama chakula cha mifugo yani kuku
Mwenye uelewa wa hili swala naomba aeleze kwa mapana zaidi, kwa kuanzia
1 mtaji
2 mbegu
3 uzalishaji
4 uvunaji
5 changamoto
6 soko lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app