Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa mbeya to dodoma? Why isiwe dar mkuumkuu mikoba ya kike na viatu vya kike vinatembea sana hapo DDm mimi huwa naletaga kutokea Mbeya (Mtumba)
Nadhani ni mazoea alafu Mbeya iko ofisi sasa mzigo ukikusanywa mwingi huwa ndio naupunguza natembeza then narudisha mpira kwa kipa.Unatoa mbeya to dodoma? Why isiwe dar mkuu
Haji Tena.Kuna jamaa alileta idea ya kuuza mishikaki humu.
Nahisi atakuja tena hapa
Hahahaha mzee jinsia ya nini tenaMe au ke?
Kuna wanaotakiwa kupata mabox ya kondom za jero jero tu na kuwasha lokesheni 😁😁Hahahaha mzee jinsia ya nini tena
Mipango mikakati sioBaadae tukutane pale Micasa tupange mkakati
kwan kipi cha ajabu hapo? Nani kasema faida chap chap? Soma kwa umakiniWee hebu kuwa serious basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo viiiingi halafu unataka faida chap chap...daaah hujaanalyse SWOT bado unataka fasta tu