Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au genge la mboga mboga na hayo matunda.. asisahau maharage yaliyochemshwa.Kwa SAUT biashara ya kufanya zipo ila mchawi location.. nikupe idea nzuri pale tafuta bidhaa za msimu Kama matunda uwe unapiga mnada jioni hasa ukiwa na company.
ZinaendajeOngeza kidogo tu hapo ununue dryer cleaner uanze biashara chap chap
Kama upo dar, tafuta sehem iliyochangamka , fungua kijiwe anza kuuza matundaNdugu zangu kuna hela nimeipata ipoo kama laki tano nataka niifanyie biashara ambayo itayonilipa
Angalau nisikose hela ya kula, hela ya kulipia chumba msaada wandugu mie ndo naanza maisha
Zinaendaje
Habari zenu wana JF ni biashara gani ninayoweza kufanya kwa mtaji wa sh 200000, biashara ambayo haitachukua muda mrefu (Less than 2months) kuanza kuona faida..
AHSANTENI.
Ili watu wakusaidie kukushauri kwa urahisi ungetaja na location ulipo kwa sababu kila mahali kuna fursa zake za tofauti.
Ili watu wakusaidie kukushauri kwa urahisi ungetaja na location ulipo kwa sababu kila mahali kuna fursa zake za tofauti.Nipo Moshi..Habari zenu wana JF ni biashara gani ninayoweza kufanya kwa mtaji wa sh 200000, biashara ambayo haitachukua muda mrefu (Less than 2months) kuanza kuona faida..
AHSANTENI.
Tupe ABC kodogo mkuuFungua duka la mahitaji ya kila siku nyumbani. Pesa yako inatosha sana na ukiwa site nzuri utaula.
1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutiaWadau msaada plz
Hivi kwa mtaji wa shilingi laki 5 ninaweza kufanya biashara gani