Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa SAUT biashara ya kufanya zipo ila mchawi location.. nikupe idea nzuri pale tafuta bidhaa za msimu Kama matunda uwe unapiga mnada jioni hasa ukiwa na company.
 
Nunua charger za smartphones, earphones, flashdrives, pamoja na stationery materials kama karatasi za rim, kalamu za wino, tafuta na bei kubwa la laptop uweke mizigo yako uwe unatembea nayo huku unaiuza.....
 
Kwa SAUT biashara ya kufanya zipo ila mchawi location.. nikupe idea nzuri pale tafuta bidhaa za msimu Kama matunda uwe unapiga mnada jioni hasa ukiwa na company.
au genge la mboga mboga na hayo matunda.. asisahau maharage yaliyochemshwa.
 
Ndugu zangu kuna hela nimeipata ipoo kama laki tano nataka niifanyie biashara ambayo itayonilipa

Angalau nisikose hela ya kula, hela ya kulipia chumba msaada wandugu mie ndo naanza maisha
Kama upo dar, tafuta sehem iliyochangamka , fungua kijiwe anza kuuza matunda
 
Habari zenu wana JF ni biashara gani ninayoweza kufanya kwa mtaji wa sh 200000, biashara ambayo haitachukua muda mrefu (Less than 2months) kuanza kuona faida..

AHSANTENI.
 
Ili watu wakusaidie kukushauri kwa urahisi ungetaja na location ulipo kwa sababu kila mahali kuna fursa zake za tofauti.

Nipo Moshi..
 
Wadau msaada plz.

Hivi kwa mtaji wa shilingi laki 5 ninaweza kufanya biashara gani.
 
Fungua duka la mahitaji ya kila siku nyumbani. Pesa yako inatosha sana na ukiwa site nzuri utaula.
 
Wadau msaada plz
Hivi kwa mtaji wa shilingi laki 5 ninaweza kufanya biashara gani
1.Tafuta sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi fungua banda la matunda hutojutia

2.fungua vijiwe hata vitano vya kukaanga kuku wa kisasa ambapo kila kijiwe kiuze angalau kuku ishirini tu kwa siku, hapa itabidi uwe na vijana wa kukusaidia kwa simu lipa 5000 kwa kila kijana
 
Back
Top Bottom