Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
Usisahau mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau mrejesho
Wanaweza sepa nayo yote[emoji3]Kopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.
Biashara nzuri hii, ila wakopaji hawana woga yaan mtu anachukua na mnaandikishiana kbs ila changamoto muda ukifika utapigwa danadana za kila namna
Aingie akiwa na tahadhari maana kuna uwezekano wa kupoteza mtaji maana huku mtaani wakisikia unakopesha wanafanya kuambiana waje kukopa ila shida ndio kwenye malipo
Ogopa Raia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna kampuni moja ha kukopesha.sasa hivi hawakopeshi wanasubiri walipwe Kwanza.
Na kila siku wanafungua ofisi ila hela ya kukopesha HAWANA ZOTE ZIPO KWA RAIA
Chupi za kike na vi blauzi vitakutoa haraka sanaWakuu Habari baada ya kuonekana kuna shida ya ajira mtaani
Nimeweza kupata kiasi cha Tsh laki Moja sasa Hapa nilikuwa naomba msaada wenu wa Mawazo Shughuli gani ninaweza kufanya maana hii hela niliyonayo ni ya mkopo wakuu natakiwa kurudisha mwezi wa 4.
Ogopa Raia
Biashara ya kukopesha ni kama kama kamari kuunguza mtaji kitu kidogo tu
Ingawaje wanasema mfanya biashara lazima uchukue risk kama hizo
Hata nikikwambia Profession yangu sijui kama itakusaidia kitu...Mkuu wewe huwa ni mjuzi wa Nini?
Maana KILA uzi unasema ngoja wajuzi waje!
Sio wabishi wanajua sheria iko upande wao, maana raia hauruhusiw kukopesha kwa ribaNa kumfunga hauwezi.ni wabishii
Ww kweli tusex[emoji23][emoji23][emoji23]Sio wabishi wanajua sheria iko upande wao, maana raia hauruhusiw kukopesha kwa riba
Maana hy ni kazi ya bank
Hivi hiyo id na avatar yako vinaakisi kilichomo ndani yako?...Biashara nzuri hii, ila wakopaji hawana woga yaan mtu anachukua na mnaandikishiana kbs ila changamoto muda ukifika utapigwa danadana za kila namna
Aingie akiwa na tahadhari maana kuna uwezekano wa kupoteza mtaji maana huku mtaani wakisikia unakopesha wanafanya kuambiana waje kukopa ila shida ndio kwenye malipo
Nakubaliana ushauri wako mkuu.Tatuta hata sehemu ya kukodi mtaani uweke meza uanze kupiga mpunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wewe huwa ni mjuzi wa Nini?
Maana KILA uzi unasema ngoja wajuzi waje!
Kwakua umesema upo dar.. Ngoja nikipe idea mbili ukishindwa basi...Wakuu Habari baada ya kuonekana kuna shida ya ajira mtaani
Nimeweza kupata kiasi cha Tsh laki Moja sasa Hapa nilikuwa naomba msaada wenu wa Mawazo Shughuli gani ninaweza kufanya maana hii hela niliyonayo ni ya mkopo wakuu natakiwa kurudisha mwezi wa 4.
2sexy kafanyaje hapo?Ww kweli tusex[emoji23][emoji23][emoji23]
Lete madini mkuu, achana na hiyo avatarHivi hiyo id na avatar yako vinaakisi kilichomo ndani yako?...
Najaribu kuwaza tu
😀😀😀Ila Mimi namkubali Sana jamaa , mwamba yupo humble Sana , anachofahamu anachangia asichokijua bas anakarbisaha wanaojua wasaidie , ni mtu wa watu Sana humu JF , sijawah ona comment yake hata ya kutukana , kimsingi ni Kati ya watu naowa-respect Sana aisee JoseverestMkuu wewe huwa ni mjuzi wa Nini?
Maana KILA uzi unasema ngoja wajuzi waje!
Hiyo biashara si mshauri hakuna biashara yenye high risk kama kukopesha watu, kwanza chance ya kuipata hiyo pesa inaweza kukuchukua muda sana au usipate kabisaKopesha watu hapo hapo ulipo weka na riba ya elf mbili kila baada ya siku saba.
10,000×10+2000×10=120,000 kwa siku saba. ila jipange mkuu.