makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Uko wrong vibaya mnooo, kuna watu wana vibiashara mpaka vya laki laki na wanapata faida.. ishu ni kulenga tu.. unadhani wale wauza vijipweza kando ya barabara, wauza ice cream za bakhresa, vijana wanaouza matunda,wale wanaopoint nguo, wale wa viatu? Mzee kuna wauza kahawa mjini hapa n.k n.k, unadhani mitaji yao imezidi hiyo laki 2? Kuna wamama wanauza supu za mapupu na chapati na wanagonga hela mbaya. Kuwekeza hela nyingii,sio kigezo cha kupata faida kubwa saana.Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Muhimu tu ajue si rahisi kuanza biashara leo leo kisha upige hiyo faida japo inawezekana. Muhimu awe na subira.