Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Wadau habari zenu; hodi ktk jukwaa.

Kwenye elimu ya ujasiriamali wanasema mtu si lazima uanze biashara na mtaji mkubwa,unaweza anza hata na elf 10,nami na Tshs laki 1, nipo mwanza naweza fanya baishara gani???
 
Wadau habari zenu; hodi ktk jukwaa
kwenye elimu ya ujasiriamali wanasema mtu si lazima uanze biashara na mtaji mkubwa,unaweza anza hata na elf 10,nami na Tshs laki 1, nipo mwanza naweza fanya baishara gani???

Nunua samaki na uuze
 
Huko tena... sa si uuze mapanki...???!!!
 
Wadau habari zenu; hodi ktk jukwaa
kwenye elimu ya ujasiriamali wanasema mtu si lazima uanze biashara na mtaji mkubwa,unaweza anza hata na elf 10,nami na Tshs laki 1, nipo mwanza naweza fanya baishara gani???

Kaanga clips za viazi ulaya, ziunge chunvi, na nyingine chumvi na pilipili. zipaki vizuri kwenye vifuko. unaweza kuziweka kwenye maduka au sehemu unayoona inawateja.
 
mh laki hata nauli inatosha kweli labda uanze biashara ya kuosha walimbwende kucha..ukinunua rangi mbili tatu itatosha..
 
Kaanga clips za viazi ulaya, ziunge chunvi, na nyingine chumvi na pilipili. zipaki vizuri kwenye vifuko. unaweza kuziweka kwenye maduka au sehemu unayoona inawateja.

Umeona huyo mdau alichoshauri hapo juu? Unajua kwanini kakwambia "ziunge kwa chumvi na pilipili, zipaki kwenye vifuko?" Kwa tafsiri yangu, jifunze kitu hapo, maana yake ni kuwa unaweza ukafanya kitu ambacho wengine wanafanya ila wewe fanya kwa ubora zaidi ili wateja waje kwako.

Kama ni chipsi huyo mdau anasema zitengeneze kwa ubora zaidi kuliko wengine, na hata jinsi ya kuuza usiuze kama wengine, ndio maana kakwambia weka kwenye maduka au sehemu nyingine, hata kwenye magari/mabasi.

Hivyo, unaweza ukauza chips, au kama eneo ulipo kuna wauza chips wengi, wewe unaweza ukanunua viazi wanavyotumia ukaja kuwauzia. Unaweza ukafanya jambo linalofanywa na wengine ila wewe ukafanya kwa ubora zaidi.

Kwa shs laki moja uliyonayo, unaweza ukawa tajiri kama utakuwa na imani, nidhamu na uwajibikaji. Asikwambie mtu hiyo ni hela kidogo. Biblia yasema, uwe mwanifu kwa kidogo ndipo utapewa zaidi.

Chukua hatua usiogope.
 
Hatua ya kwanza...kuuza karanga na sigara.. (sigara kwa siku 7000 - 10,000TZS karanga 2000 - 5000TZS), fungua pia kijiwe cha kupaka rangi viatu, then ambatanisha na kuuza mkaaaa....mtaji unaumuka..(jioni nunua mkate 500-1000 kula na maharage kwa mama ntilie), usihonge (yeyote),

Hatua ya pili...fungua genge (vitunguu nyanya, pilipili, viazi ulaya, etc) ambatanisha na hatua ya kwanza...(mtaji unakua) (usihonge)

Hatua ta tatu ,...fungua duka la reja reja...ambatanisha na jumla......(usihonge)

Hatua ya nne ...nunua kiwanja jenga, nyumba ama panua biashara (usiweke mayai kwenye kapu moja)

Hatua ya tano ...usihonge..mshukuru muumba wako

Hatua sifuri/awali...fungua namba moja na HONGA.....utarudi kijijini kuchoma mkaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Asante sana kaka

this is how great minds discuss ideas
 
Mkuu mpaka hapo ulipofkia bila shaka una wazo zur la biashara sema tu linahtaj mtaj mkubwa nPM nikusaidie hapa na nikupe njia rahic ya kupata mkopo. Mazima
 
Hatua ya kwanza...kuuza karanga na sigara.. (sigara kwa siku 7000 - 10,000TZS karanga 2000 - 5000TZS), fungua pia kijiwe cha kupaka rangi viatu, then ambatanisha na kuuza mkaaaa....mtaji unaumuka..(jioni nunua mkate 500-1000 kula na maharage kwa mama ntilie), usihonge (yeyote),

Hatua ya pili...fungua genge (vitunguu nyanya, pilipili, viazi ulaya, etc) ambatanisha na hatua ya kwanza...(mtaji unakua) (usihonge)

Hatua ta tatu ,...fungua duka la reja reja...ambatanisha na jumla......(usihonge)

Hatua ya nne ...nunua kiwanja jenga, nyumba ama panua biashara (usiweke mayai kwenye kapu moja)

Hatua ya tano ...usihonge..mshukuru muumba wako

Hatua sifuri/awali...fungua namba moja na HONGA.....utarudi kijijini kuchoma mkaaaaaaaaaaaaaaaa
hapa kumbe kuhonga ndo kikwazo eeh?
 
Nenda kwa watu wanaokata mabalo yq nguo za watoto chagua nguo ambazo ni quality kwa shiling 50,000 unaweza kupata nguo kama pc 25 kwa bei ya shilingi 2500, then wewe utauza kwa 5, 000. So utapata faida nusu kwa nusu kazi kwako mzee.
 
Watu wengi wametoa ushauri mzuri hapa. Chagua la kufanya, nitafurahi kama utatuleleza maendeleo yako katika hili baadaye.
 
Umeona huyo mdau alichoshauri hapo juu? Unajua kwanini kakwambia "ziunge kwa chumvi na pilipili, zipaki kwenye vifuko?" Kwa tafsiri yangu, jifunze kitu hapo, maana yake ni kuwa unaweza ukafanya kitu ambacho wengine wanafanya ila wewe fanya kwa ubora zaidi ili wateja waje kwako. Kama ni chipsi huyo mdau anasema zitengeneze kwa ubora zaidi kuliko wengine, na hata jinsi ya kuuza usiuze kama wengine, ndio maana kakwambia weka kwenye maduka au sehemu nyingine, hata kwenye magari/mabasi.

Hivyo, unaweza ukauza chips, au kama eneo ulipo kuna wauza chips wengi, wewe unaweza ukanunua viazi wanavyotumia ukaja kuwauzia. Unaweza ukafanya jambo linalofanywa na wengine ila wewe ukafanya kwa ubora zaidi. Kwa shs laki moja uliyonayo, unaweza ukawa tajiri kama utakuwa na imani, nidhamu na uwajibikaji. Asikwambie mtu hiyo ni hela kidogo. Biblia yasema, uwe mwanifu kwa kidogo ndipo utapewa zaidi.

Chukua hatua usiogope.

hapa nafikiri happiness win alimaanisha kaanga krips / crisps....sio chips mkuu
 
ngoja nifanye maamuzi,ktk hizi biashara mlizo nishauri! Alafu nichukue hatua! Nitawalezea maendeleo yangu ! Bila shaka
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie nina laki tano na sina ishu nyingie yoyote nategemea hii ela niliyopata ndio nifanyie biashara, lakini sina idea ebu nisaidieni ni biashara gani nifanye kwa mtaji huu
 
Back
Top Bottom