Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
then uko wapi binamu yangu? tukupe idea kutokana na mahali kwani hyo laki5 inaweza isiwe mtaji wa kutosha Dar. lakini huku songea inaweza kukutoa sehemu flani na kukupeleka next step!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
then uko wapi binamu yangu? tukupe idea kutokana na mahali kwani hyo laki5 inaweza isiwe mtaji wa kutosha Dar. lakini huku songea inaweza kukutoa sehemu flani na kukupeleka next step!
mpesa inakuhusu kaka
hataki msaada huyu ndo maana tunamuuliza anaishi wapi hajibu.
hataki msaada huyu ndo maana tunamuuliza anaishi wapi hajibu.
Ngoja nikwambie binamu yako. Kama upo kwenu na kuna chumba kikubwa. Nunua kuku wa kienyenyi hata wa laki 2.50 ufuge. Hyo nyingine tumia kwa chakula na madawa ya kuku huku ukfanya maarifa ya kupata hela kdogo kwa ajili ya menyu ya hao viumbe.
nimepanga, ujaniambia hiyo ishu ya gaming center
Habar jamiiforums.com
Ni matumaini yangu kwamba ni wazima wa afya tele.
Binafsi nimefikia sehemu nikawaza miaka tano ijayo natakiwa niwe nimepiga hatua.
japo nijitegemee ktk shughuli zangu niachane na kuajiriwa au kuuxa vitu ambavyo hujui ni nani /saa ngapi/siku gani mteja atakuja
Nisiwachoshe msinichoshe nina laki mbili fedha za kitanzania,nikipiga mahesabu naona hayaendi kokote kutokana na bidhaa kupanda holela kwa maana ya soko huria.
mwanzo wazo langu nilitegemea nifanye kilimo lakini kutokana na mtaji mdogp kilimo dintakiweza ukizingatia mvua naxo hazitabiriki.
Nikaishia kwenye ufugaji wa kuku kienyeji lakini nao unakua mgumu maana sina hata banda la kuku.
Naombeni mnisaidie hii laki mbili niifanyie nini.
Nb:Sina kitu chochote ninachotegemea kwa sasa.
Kwenu wadau.
Kazi ipo....Nimejiunga juzi hapa baada yakuona nimesoma sana ya wengine humu ndani,sasa naomba munipokee ili na mimi nianze kutupia maoni yangu na mawazo yangu kulingana na msitakabali wa TANZANIA YETU NA DUNIA KWA UJUMULA
Asante kwa kunielewa naomba ushirikiano wenu.
Kazi ipo....[/QUO ipi sasa au wewe pro chadema
Apolonary said:Fanya Vyote Kwa Pamoja!!Crashwise said:Kazi ipo....[/QUO ipi sasa au wewe pro chadema
ipi sasa au wewe pro chademaKazi ipo....
Kwani wewe unataka mchongo wa CCM!? kama wa CCM watakwambia Beba sembe peleka South Africa au China ukirudi unatembea umekaa au meno ya tembo...halafu umekuwa wajuzi vile kumbe wewe na Makinda mmezaliwa siku mmoja...