Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

then uko wapi binamu yangu? tukupe idea kutokana na mahali kwani hyo laki5 inaweza isiwe mtaji wa kutosha Dar. lakini huku songea inaweza kukutoa sehemu flani na kukupeleka next step!
 
then uko wapi binamu yangu? tukupe idea kutokana na mahali kwani hyo laki5 inaweza isiwe mtaji wa kutosha Dar. lakini huku songea inaweza kukutoa sehemu flani na kukupeleka next step!

hataki msaada huyu ndo maana tunamuuliza anaishi wapi hajibu.
 
kwa hiyo hela naonana biashara ya matunda inaweza ikakulipa vizur tafuta soko na jaribu kuoengea na mwenyekit wa soko kama unaweza pata kizimba
 
Ngoja nikwambie binamu yako. Kama upo kwenu na kuna chumba kikubwa. Nunua kuku wa kienyenyi hata wa laki 2.50 ufuge. Hyo nyingine tumia kwa chakula na madawa ya kuku huku ukfanya maarifa ya kupata hela kdogo kwa ajili ya menyu ya hao viumbe.

nimepanga, ujaniambia hiyo ishu ya gaming center inakuaje
 
Kuna sehemu moja humu humu jukwaani inasema hivi.
kwa mfano.
ukiwa na mtaji wa laki 2.5 unatosha kuanzisha mradi wa mamilions ya fedha baada ya muda mfupi, sharti kuwepo uangalizi wa hali ya juu bila kumwachia kijana wa kazi peke yake maana yeye ni mtu wa mshahara tu.
nunua kuku 25 *10,000=250,000
Makoo (20)
jogoo(5)
Hakikisha unanunua kuku wako wakiwa kutoka kwa wafugaji walioko nje ya mji yaani usinunue sokoni, andaa safari uwafuate huko vijijini.
mara baada ya mwenzi mmoja kuku wote watakua wanataga kwa kuwa na lishe bora.
mwezi unaofuatia kuku wako watakua wanaatamia kwa mtindo huu.
20*mayai10=200 hii ni kwa mwezi na siku chache je miez 4
 
kwa kuzingatia mtaji wa mdau hapo juu tena yupo dar eneo ambalo biashara yeyote atakayofanya itamlipa, tuanze hivi

1. biashara ya kuuza nguo/viatu vya mtumba au vyote kwa pamoja huna haja ya kutafuta eneo kwenye masoko au minada kama vile mchikichini, unachohitaji ni eneo la wazi katika maeneo ya makazi ya watu, nguo za kina dada na masharo baro na za wazee zinalipa saana kama utajitofautisha na wengine, kwa biashara hii huwezi kosa faida ya 15 mpaka 30 au zaidi kwa siku.

2. biashara ya matunda au mboga mboga au vyote kwa pamoja yaani Genge, hii inalipa saana hasa ukiweka eneo la njia panda maeneo ambayo watu wengi wanapita hasa nyakati za jioni na asubuhi profit margin yake huwa 30% au zaidi yaweza pia kuwa chini ya hapo ila si kwa kiwango kikubwa na pia inategemeana na maeneo kwa mfano maeneo ya mwenge,sinza na mikocheni na sehemu za karibu na huko profit margini si chini ya 60% inalipa saana kama fursa twenzetu.
 
Habar jamiiforums.com
Ni matumaini yangu kwamba ni wazima wa afya tele.
Binafsi nimefikia sehemu nikawaza miaka tano ijayo natakiwa niwe nimepiga hatua.

japo nijitegemee ktk shughuli zangu niachane na kuajiriwa au kuuxa vitu ambavyo hujui ni nani /saa ngapi/siku gani mteja atakuja

Nisiwachoshe msinichoshe nina laki mbili fedha za kitanzania,nikipiga mahesabu naona hayaendi kokote kutokana na bidhaa kupanda holela kwa maana ya soko huria.

mwanzo wazo langu nilitegemea nifanye kilimo lakini kutokana na mtaji mdogp kilimo dintakiweza ukizingatia mvua naxo hazitabiriki.

Nikaishia kwenye ufugaji wa kuku kienyeji lakini nao unakua mgumu maana sina hata banda la kuku.

Naombeni mnisaidie hii laki mbili niifanyie nini.

Nb:Sina kitu chochote ninachotegemea kwa sasa.
Kwenu wadau.
 
Nimejiunga juzi hapa baada yakuona nimesoma sana ya wengine humu ndani,sasa naomba munipokee ili na mimi nianze kutupia maoni yangu na mawazo yangu kulingana na msitakabali wa TANZANIA YETU NA DUNIA KWA UJUMULA

Asante kwa kunielewa naomba ushirikiano wenu.
 
Kazi ipo....
 
Mwenzako anasema kazi ipo kama mshangao wa thread yako na huyo expert post yake haindani na uzi wako.
 
Kwani wewe unataka mchongo wa CCM!? kama wa CCM watakwambia Beba sembe peleka South Africa au China ukirudi unatembea umekaa au meno ya tembo...halafu umekuwa wajuzi vile kumbe wewe na Makinda mmezaliwa siku mmoja...

Nijibuni basi wewe crashwise achana na hii post huiwezi nenda kapige debe chadems
 
Back
Top Bottom